Unamaanisha tayari uko na executable file (.exe)? au uko na Source code ambazo ni complete program?nimeshamaliza kuandika progam yangu
Unamaanisha tayari uko na executable file (.exe)? au uko na Source code ambazo ni complete program?
Kama ni .exe, so download setup builder hapa then let us know, we will direct you how to use it:
jrsoftware.org // Jordan Russell's Software
Kama ni source code, tuambie programming language gani umetumia ili tukuelekeze IDE au compler ya kutimia then utengeneze hiyo setup.
VILEVILE
kama una maana ya kutengeneza AUTRUN CD ya setup yako, let us now
nimeshamaliza kuandika progam yangu, ila nataka niiweke kwenye cd ili watu wengine waweze kuinstall, nifenyeje? from the start to stop, please give the algolithim of that problem, thanks for your cooporation, together guys.