Kama kuna mtu yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii course ninaomba anisaidie kunijuza mambo mawili matatu. Ni wapi wanaifundisha vizuri? Ipo applicable hapa Tanzania? Ni cheti kinachojitegemea au ni lazima uwe na cheti kingine ili upate kazi? Mtihani wake unakuwaje? Ikibidi naomba uniInbox tuwasiliane vizuri. Nimepata hela ya kutosha nataka kuisoma kama nikiona inalipa.