"Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

Thanks Nguli. Ukweli pesa sio care!! But Nguli ukweli upo pale pale, Am already a spoilt Child. just look at this break down

DSTV..... 101,000
RENT......250,000
FUEL......150,000
Hizo ndo Gharama za kuonekana, Tukiachana inabidi nibadili nyumba, atleast nipate ya 120,000/month. and no Dstv.
But I have to do it brother.
haya bwana!
kumbuka MEN DON'T GIVE OUT MONEY FOR NOTHING!
 
Thanks Nguli. Ukweli pesa sio care!! But Nguli ukweli upo pale pale, Am already a spoilt Child. just look at this break down

DSTV..... 101,000
RENT......250,000
FUEL......150,000
Hizo ndo Gharama za kuonekana, Tukiachana inabidi nibadili nyumba, atleast nipate ya 120,000/month. and no Dstv.
But I have to do it brother.
Mh bibie kweli upo ki commercial zaidi!! salalee Jamaa ukimwacha gafla lazima presha ipande garama zote izo na sijui ni kwa muda gani kahudumia!
 
no no no no!!!! I say no to you Fidel. Ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha!! never Fidel no! Hapana. hapana. please fidel no!!

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH!
sasa mpwa fidel HASAFISHIKI!ni kama lowassa huyu mpwaaaz!:D
 
Hey guyz! I've got A boyfriend who really cares for me monetary wise!! The opposite side of the coin is that we have no marriage plans!. The way I look at him I dont see my future with him. Nataka kumuacha lakini nashindwa jamani. Alishawahi kunitamkia wazi, Babu yao aliacha laana kwao mtu yeyote aioe mchagga and he wont go against that! At the age of 24 I really need a serious relationship!! am sorry my Pal if you are reading this! Am not growing any younger!!!
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?

Umeonekana ku-refer pesa tu, na hiyo ni mbaya maana ndio lebo inayopigwa mjini kwamba ni pesa na materials... hebu boresha hiyo story la sivyo nitamuunga mkono jamaa kwamba aanze mbele tu, ile laana ya babu ni sawa
 
Geoff! Thanks alot man. But umri unanitupa mkono!!

dada Vivian Umri gani huu unauzungumzia??? you are soo young....u know what? am 10 yrs older than u (seriously) and planning my pre nups..... LOL

Kama hana mpango wa baadaye nawe u can plan on moving on lakini UMRI usiwe sababu ! Ama una hofu Dstv itakwatwa???? come on gal! when I was your age...we acha tu hata kuolewa hakukuwahi kunipitia hata ndotoni, am serious!
 
no no no no!!!! I say no to you Fidel. Ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha!! never Fidel no! Hapana. hapana. please fidel no!!

Naona sina changu hapa ngoja niwaachie hao wanao kumega mega ovyo utakuwa kibibi hivi punde hujui hicho kitu kikuwa used na wewe unachoka. Ngoja nichape mwendo.
 
Lakini kwani Vivian moyoni mwako unaye tayari wa kufanya replacement?

Atakuja tu!! Am still you. at 24 I Think I have to make myself unoccupied to create room for one to come thats all!
 
kuna kila sababu ya kuunda mtandao wa kumsafisha FIDEL!(LOWASSA WA WAPWAAZ!:D)!

adhawaisi hawezi kupata jiko tena
 
1. Kwenye red mtu akiku care kifedha tu unaiita care??
2. Hakuna kitu kama laana mbona wazazi wetu hawakutuachia laana tuwe matajiri???
3. Vivian my dear sister unaonekana wewe u love for mercy...it is dangerous.
4. Huyo mchumba ako yeye ni kabila gani?? mbona kwao wanaonekana ni wakabila??

I dont know why wanawake wengi wanadhani pesa ndo upendo, c'mon Vivian, you can do better than that.
Kwa ufupi, it seems wote nyie wawili ni wasanii. Lakini kama ushakubaliana naye tangu mwanzo kwamba hakuna ndoa bali ni fun kwenda mbele, why the hurt now? Dont let money make you a prisoner, learn to be independent and you will enjoy your life, how about you giving yourself a target, let say by june 2010 i have to be out of this relationship coz it is leading me no where, start by learning how to pay your bills, each month and reduce some closeness with the guy taratibu, be independent and be open to him that since there is no future btn us, i want to move on.
Ukijichelewesha utakujaumizwa wewe pale atakapokwambia sasa i have met my soulmate and am getting married so get out of my life, who will loose?
Kwa ufupi huyo jamaa ana guts na anakutumia, coz anajua akitanguliza vijisenti na wewe kwa kuwa uko brainwashed ukidhani pesa ni care, ataendelea kukutumia siku zote, na hata akioa wewe utaendelea kuwa mistress wake. so akili kichwani binti, amua.
 
Atakuja tu!! Am still you. at 24 I Think I have to make myself unoccupied to create room for one to come thats all!

Mi unaninyima nafasi bure nilikuwa nakufaa na nina kila sababu ya kujivunia kuwa nakufaa
 
halafu vivian,
achana na vionjo ambavyo ni too MATERIAL KWENYE RELATIONS!

mapenzi ni zaidi ya kile kinachofikiriwa au kujadiliwa!

mali,hela diesitivii na nini huwa vinapendeza sana kama UTASHIRIKI KATIKA KUVITAFUTA UKIWA KWENYE NDOA YAKO
Ooh! how such a very nice comment Sir. Nimeuweka kwenye diary yangu ya 2010
 
Kwa ufupi huyo jamaa ana guts na anakutumia, coz anajua akitanguliza vijisenti na wewe kwa kuwa uko brainwashed ukidhani pesa ni care, ataendelea kukutumia siku zote, na hata akioa wewe utaendelea kuwa mistress wake. so akili kichwani binti, amua.

Dah afadhari shemeji umeliona hilo na kumwambia hebu kula senkisi
 
dada Vivian Umri gani huu unauzungumzia??? you are soo young....u know what? am 10 yrs older than u (seriously) and planning my pre nups..... LOL

Kama hana mpango wa baadaye nawe u can plan on moving on lakini UMRI usiwe sababu ! Ama una hofu Dstv itakwatwa???? come on gal! when I was your age...we acha tu hata kuolewa hakukuwahi kunipitia hata ndotoni, am serious!

Sasa ni ushauri gani huu unatoa? Kama hukutaka kufika bei, mwenzako Vivy anataka kufika bei.
 
dada Vivian Umri gani huu unauzungumzia??? you are soo young....u know what? am 10 yrs older than u (seriously) and planning my pre nups..... LOL

Kama hana mpango wa baadaye nawe u can plan on moving on lakini UMRI usiwe sababu ! Ama una hofu Dstv itakwatwa???? come on gal! when I was your age...we acha tu hata kuolewa hakukuwahi kunipitia hata ndotoni, am serious!

Thanks pal!!
Thanks for you contributions guyz!! Am just going to meet him today and tell him nataka kuolewa amue mwenyewe kusuka au kunyoa!!
 
Please members just advise on how am I going to tell him to go on his own!! This guy has been paying my rent, DSTV bills, Fueling my Car frequently, Lots me kwakweli. But I just need to say enough now.
Jamani nashindwa nimuanzeje?

Wanawake bana..lol siongei zaidi..lolz
 
1. Hiyo red hiyo: Agrrrrrrrh! Huyo jamaa yako shule yake ikoje? Kichwa chake kiko sawa? Mpaka leo bado anaendekeza mambo ya kizamani? Eti hawezi kwenda against babu yake. Babu yake angemwambia lazima aliwe tigo ingekuwaje? Kalaghabaho!
2.Hiyo blue; You are still young! Naona umri bado unakusumbua, subiri ukue zaidi kama hutajali.
3. Hiyo bold nyeusi: Naona bado unamhitaji sana huyu bwana. Sasa fanya hivi, tafuta kiwanja Bunju, mkonvisi akujengee bangaluu. Likimalizika mwambie its better to obey our ancestors! Babu lazima aheshimiwe, siyo! Kila mtu anachukua hamsini zake, by then utakuwa na miaka 26/27! Na kina Fidel watakuwa wameshafikia targets zao za kuoa pia. You never knoo!
Otherwise? Hahahaha! LOL!
Makaka wachaga utawajua tu.:rolleyes:
 
1. Hiyo red hiyo: Agrrrrrrrh! Huyo jamaa yako shule yake ikoje? Kichwa chake kiko sawa? Mpaka leo bado anaendekeza mambo ya kizamani? Eti hawezi kwenda against babu yake. Babu yake angemwambia lazima aliwe tigo ingekuwaje? Kalaghabaho!

Eh Xspin weeeee! Hiyo underlined ndio nini??

2.Hiyo blue; You are still young! Naona umri bado unakusumbua, subiri ukue zaidi kama hutajali.

Kula SENKSI my mkwe!!!

3. Hiyo bold nyeusi: Naona bado unamhitaji sana huyu bwana. Sasa fanya hivi, tafuta kiwanja Bunju, mkonvisi akujengee bangaluu. Likimalizika mwambie its better to obey our ancestors! Babu lazima aheshimiwe, siyo! Kila mtu anachukua hamsini zake, by then utakuwa na miaka 26/27! Na kina Fidel watakuwa wameshafikia targets zao za kuoa pia. You never knoo!
Otherwise? Hahahaha! LOL!

2012 for Fidel!!!! sijui kama kabadili mipango!
 
Naona bado unamhitaji sana huyu bwana. Sasa fanya hivi, tafuta kiwanja Bunju, mkonvisi akujengee bangaluu. Likimalizika mwambie its better to obey our ancestors! Babu lazima aheshimiwe, siyo! Kila mtu anachukua hamsini zake
At some point this can work but on the other way round its dangerous for your health, family and life too, you better struggle for yourself,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom