Help: Huu mlio wa laptop unanishtua

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Recently laptop yangu ambayo hata mwaka haina imeanza kubehave unusual, tatizo limeanza kama wiki ivi, nikiizima au ikisleep au ku hibernate inatakiwa kuwaka ntakapo bonyeza kitufe cha POWER lakini badala ya kuwaka huanza kutoa BEEP sound kama gari inarudi reverse kisha haiwaki nikiiacha muda mrefu kama 15min hivi kisha nikirestart inawaka na inakuwa sawa balaa linatokea ikisleep tu kosa,
Mashine yenyewe ni DELL INSPIRON M5010 Ina Windows 7, na processor ni AMD Phenom II Quard Core

wataalam wa hardware nawategemea
 
Sasa mkuu itakuwa ni vigumua kuweza kutambua tatizo lako bila kuwa na uhakika na hizo beep sound maana kila beep sound ina maana yake ni vyema kama unaweza unihesabie hizo beep codes au unirekodie halafu unitumie nami nitatroubleshoot na kukupa ufumbuzi wa tatizo lako.
 
mara tatu kisha inatulia then inaanza tena beep beep beep nyasiro Young Master yani hapa sijaizima tangu jana maana naogopa ikizima tu napotea hewani mpaka nianze kubahatisha tena
 
Last edited by a moderator:
mara tatu kisha inatulia then inaanza tena beep beep beep nyasiro Young Master yani hapa sijaizima tangu jana maana naogopa ikizima tu napotea hewani mpaka nianze kubahatisha tena

Ntajaribu kushughulikia kutokana na maelezo yako baadae ikishindikana itabidi unirekodie hizo beep sounds ili nizisikilize mwenyewe.
 
two beeps na one long one au? hiyo sana sana ni kuwa RAM haijakaa vizuri

kingine naweza think of quickly ni kuwa hdd yako inapata failure. kabla hujapost sample ya hiyo beep sound, ningependa kujua kama inafuanania na ile beep unayoskia ukiwasha hiyo laptop. kingine ni kuwa inatoka kwa speakers au mle nyuma wa PC yako? sikiliza kwa umaakini, utaweza kutambua. then nijulishe and tutakuwa karibu na kujua wats up with ur PC
 
it depends mkuu maana beep sound zinaweza kutofautiana kati ya pc moja na nyingine. Ni vyema kusoma manual
 
it depends mkuu maana beep sound zinaweza kutofautiana kati ya pc moja na nyingine. Ni vyema kusoma manual

true, but most things across PCs ni universal. hii inatokana na kuwa watengeneza computers wanatumia the same hardware (intel & amd processors, ati & nvidia gpu, toshiba, sony, huawei {hapa list ni refu}, motherboard za AT, ATX, LPX & BTX {most common}, watengeneza bios ni wachache (top of my head nakumbuka Phoenix, IBM na AMI) na karibu 80% ya modern PCs zinatumia bios za phoenix. so while its true things may be different between different computers, matatizo mengi solution ni almost sawa especially kwa bios beeping sounds

almost every computer inaenda hivi kwa start up, ina beep once to show that everything is ok na kama kuna shida kwa power supply haitoi beep. kuna zingine nyingi but I cba writing them all down right now
 
kwa harakaharaka na kutokana na mawazo ya wadau hapo juu tatizo liko kwenye hardware. Kumbuka kufanya BACKUP kabla ya kuanza marekebisho.
 
chief-mkwawa, Young Master, leh, nyasiro, leo asubuhi ilisleep baada ya kuiacha on usiku kucha kuwaka imeshindikana mpaka mchana huu baada ya kuhangaika sana, sauti inatoka kwenye speaaker coz niliunganisha laptop na subwoofer ili nirekodi sauti vizuri ikatoka kwenye woofer kama kawaida, kweli tatizo ni hardware coz hairespond kwenye step ya kwanza kabisa unapowasha pc, uwa logo ya kampuni husika uwa inatokea mfano DELL then process zingine hufuata.....

ntapost sauti niliyorekodi as soon as possible leo na ahsanteni kwa msaada mpaka hapo mlipofikia nahisi RAM au hard disk hazijakaa poa japo sijawahi ifungua, na kama itakufa nahisi kuzimia coz report na kazi zangu zoooooooooooooote zimo humu ndani
 
Last edited by a moderator:
Kwa mawazo yangu machache na yasiyo mengi ni kwamba,kama inawaka fresh na haisumbui kwa muda kiasi cha usiku kucha it means hardware zote ziko poa kabisa kasoro trigger/switch ya kuwezesha hibernation or sleep pili check na Display settings kama ipo kwenye Presentation Mode + Laptop LCD change iwe kwa Laptop LCD only.
 
chief-mkwawa, Young Master, leh, nyasiro, leo asubuhi ilisleep baada ya kuiacha on usiku kucha kuwaka imeshindikana mpaka mchana huu baada ya kuhangaika sana, sauti inatoka kwenye speaaker coz niliunganisha laptop na subwoofer ili nirekodi sauti vizuri ikatoka kwenye woofer kama kawaida, kweli tatizo ni hardware coz hairespond kwenye step ya kwanza kabisa unapowasha pc, uwa logo ya kampuni husika uwa inatokea mfano DELL then process zingine hufuata.....

ntapost sauti niliyorekodi as soon as possible leo na ahsanteni kwa msaada mpaka hapo mlipofikia nahisi RAM au hard disk hazijakaa poa japo sijawahi ifungua, na kama itakufa nahisi kuzimia coz report na kazi zangu zoooooooooooooote zimo humu ndani

kama imefail kuwaka then probably tatizo linaweza kuwa ni CPU au RAM...Maana hayo mambo mawili yanachangia kwa kiasi kikubwa computer kugoma kuwaka na hata kama ikiwaka basi inaweza isidisplay chochote.
 
Kompyuta inapowaka huwa inafanya kitu kinaitwa POST (Power on Self Test) hapa inakagua hardware zote na kama kuna tatizo ita respond kwa message au beeps kama hizo. Nilivyo sikiliza nimegundua hiyo kama inabeep mara 7 halafu inarudia hivyo mara tatu. Nimepata hizi links labda zinaweza saidia.

Inspiron M5010 - 7 beeps - Laptop General Hardware Forum - Laptop - Dell Community

[Solved] Bios codes for a Dell Inspiron M5010 - General-Laptops-Notebooks - Laptops-Notebooks
 
Back
Top Bottom