Help haraka iwezekanavyo:analogue to digital.

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,057
309
Habari zenu wana JF
jioni hii rafiki yangu kanunua tv yenye mgongo,sasa kutokana na serekali kubadili mfumo nadhani hizi tv hazitakiwi tena ila sina uhakika..wana jf naombeni kama kuna mtu anafaham anijulishe haraka sababu tumebishana mpaka basi..ila kama hazitakiwi airudishe kesho.
 
Serikali imetolea ufafanuzi mara kadhaa kuhusu swala hilo na kusisitiza kuwa, TV zenye tumbo zitaendelea kutumika hata baada ya kuhama kutoka analojia kwenda digitali. Cha msingi,baada ya kuhama technolojia, wenye TV za tumbo watatakiwa kununua ving'amuzi kwa kuwa TV za tumbo hazijajengewa ving'amuzi vya ndani.
 
Ama kweli wajinga ni chakula cha wasomi??
Na bado huo ni mwanzo tu tutapigwa na kuingizwa mjini mpaka tukome.
 
hakuna mahusiano kati ya tv yenye mgongo na isiyo na mgongo katika analog na digital function. zote ni vipokezi tu, wanakusudia hizi antenna ndio zitakuwa hazifanyi kazi. kila mtu atahitajika kutumia reciever (kingamuzi) kama ndio antenna yake
 
Dah! Mkuu fafanua zaidi, hicho king'amazi c kinatakiwa kuunganishwa na antenna!. Sasa antenna zipi ambazo hazitakiwi. Nahisi utawachanganya watu sasa.
 
Cha muhimu ni kuangalia kama hiyo TV ina Digital Tuner (standard ya DVB-T) kama haina basi itabidi ununue decoder. Kuna TV za mgongo na flat ambazo zinaweza na zengine haziwezi kuonyesha DVB-T. Limeshaongelewa sana humu, tafuta hiyo thread.
 
tupe link ya iyo threat jembe
 
Hizi TV si ndio zile dogo (kwene muvi gani sijui) alikua anamuuliza baba yake " Daddy, whats that big box behind the TV?" dingi akamuambia "thats the rest of the TV?" LoL
 
Just make sure u buy a DIGITAL TV.....wether its crt,lcd,led,plasma just make sure its a DIGITAL TV i mean real digital not just some chinese junk written digital
 
Just make sure u buy a DIGITAL TV.....wether its crt,lcd,led,plasma just make sure its a DIGITAL TV i mean real digital not just some chinese junk written digital
 
Tatizo sio Digital tu bali Digital katika standard itakayotumiak Tanzania, DVB-T. Maana nchi zengine zina satandard tofauti kwa mfano Markani na China zina standard zao.

OFu3s.png
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom