HELP: COnfiguring a laptop as a main server

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
ello wakuu, za weekend? ningependa kufahamishwa jinsi ya kuconfigure a single laptop to be used as a main server. kuna a certain database program nimeinstall in my laptop nataka pia watu wengine wa ofcn wapate access lakin mim ndio niwe kama main server.sante!
 
unavyosema a certain database program una maanisha access au? bila kujua what kind of program, itakuwa ngumu kukusaidia
 
kwanza unatakiwa kujua kama hiyo dtbs yako ina uwezo wa ku allow multuser?then no ujue kama inauwezo wakugawa admn na clients coz kila user anatakiwa kulog in kwa pswd yake unless iwe haiko kiivo.
 
kwanza unatakiwa kujua kama hiyo dtbs yako ina uwezo wa ku allow multuser?then no ujue kama inauwezo wakugawa admn na clients coz kila user anatakiwa kulog in kwa pswd yake unless iwe haiko kiivo.
fUNGUKA MKUU!!!
 
Back
Top Bottom