HELP: About YOUTUBE video streaming

Fungakazi

Senior Member
Jan 11, 2012
174
127
jamani anayejua chochote kuhusu setting za kwenye simu ambazo zinamuwezesha mtu kuangalia video kwenye youtube naomba anisaidie. Maana nlikua nnaangalia video zamani ila sasa nkitaka kuangalia inaload then inaandika 'no response' kama unajua chochote kuhusu hili naomba unisaidie
 
Mkuu maelezo hayajashiba
Unatumia simu gani na mtandao gani?
Kwa uzoefu wangu Airtel wanamatatizo katika kustream youtube na videos zingine online
Pia hakikisha simu yako ina uwezo wa 3G na eneo ulilopo lina covarage ya 3G pia, vinginevyo itakuwa inazingia tu
 
kama ni nokia nenda media then click real player halafu itaopen then bonyeza option then setting click streaming then network utaona aceess point.

icheki kama hio access point ni ya mtandao wako maana nokia zina mtindo ukiwa sehemu ina wireless basi streaming setting zinabadilika.
 
yap mi nnatumia nokia na kipindi cha nyuma nilikuwa nnatumia airtel na ilikuwa inashika vizuri tu labda kama hizo problem zmeanza hivi karibuni. Kuhusu setting zote zpo sawa kama zamani
 
yap mi nnatumia nokia na kipindi cha nyuma nilikuwa nnatumia airtel na ilikuwa inashika vizuri tu labda kama hizo problem zmeanza hivi karibuni. Kuhusu setting zote zpo sawa kama zamani
Mkuu Airtel wanamatatizo kwenye settings zao huko, mimi nikiweka voda,tigo nakamua youtube bila shida nikiweka Airtel inabumu
 
okay kama umeshindwa kabisa angalia alternative hizi

Kwanza: unaweza kudownload application ya youtube ya symbian kwa ajili ya nokia utaipata ovi store au hata store ya opera ipo na website mbalimbali

Pili: unaweza kwenda Vuclip web video search hawa jamaa wameruhusiwa na youtube kueka video zote za youtube katika mobile format yaani (3gp) so kama kuna video ya youtube unaitaka utaikuta pia humu

Tatu: unaweza kudownload hio video yako ya youtube kwa kubadilisha url yaani url ya youtube inaanza hivi http://m.youtube.co............
We change iwe http://ssyotube.co.........

I hope itasaidia
 
Thanx mkubwa hizi vitu zote sijawahi hata kufikiria aisee zimesaidia kwa sasa ikikataa kuplay naidownload thanx sana.
 
Back
Top Bottom