Hellow!!!

Mh!wewe acha usanii!unapiga hodi wakati ulishaingia ndani siku nyingi,tena mbaka chumbani!sikukaribishi ng'o
 
shukrani zangu kwa wooote!!!!!:A S-alert1:

welcome, halafu bibie wallaahi naomba usiongee sana na Harsh maana dak 5 atanipiga bao, mm zaidi yake, mm nipe dk 4 tuongee nitakuleta hapa TZ, wallaah hutarudi emerate
kabla hujamaliza shukrani Habibie nikuwahi ushaolewa? niruhusu mm kama bado, naomba jamani, nitakuonyesha
a new world hujawahi ona, utakuwa ukiimba tu Aisha, aisha nkutemwa, plse naomba, umekubali? thanks
 
we wameiba kura wataka niiba na mie eeee????na hashy hana mupango kanikarimu kwa mahaba na mapenzi yote halaf sasa hivi nikimuuliza kitu anambia subiri ntakujibu sasa ndo nini naogopa tena sasa hiv kuonjeshwa ukarimu na mtu wa humu then najua nitaachwa kwenye mataa...

mami mi na wewe dam dam....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom