Karibu kaeso jamvini!
Karibu sana!!
Karibu na jisikie huru.
karibu sana
AsanteKaribu
Karibu sana jamvini, japo nami ni mgeni!
kaeso ni kike au kiume?umenikumbusha sheli ya esso sasa ikiwa ndogo tunaita kaeso
karibu:embarassed2:
Asante, umenitisha hilo jina lako..
Hi! Members wa jamiiforums, mimi naitwa kaeso ni mgeni hapa naomba mnipokee....