Hellow !

Karibu mpaka ndani...jina lako limenichekesha sana KK hahahahahahaha labda utasaidia katika kutoa mafundisho mbali mbali katika lile jukwaa maarufu la MMU LOL! Kwenye hiyo fridge hapo pembeni kuna vinywaji vya aina mbali mbali ikiwemo togwa na juice ya ukwaju endelea kwa wakati wako. Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom