redSilverDog
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 470
- 76
Kuna msemo kwamba, unaweza ukaandika hello world program katika languages mia, lakini pia bado usiwe hodari.
Maanake ni kwamba, huhitaji kujua langauges nyiiingi, ila hakikisha hio unayoijua, unaijuaa ipasavyoo!
"Knowing everything, makes you look dumb!"