Hellow watalaam wa antivirus

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
Pamoja sana wakuu, antivirus yangu ni kaspersky 2012, nataka kui-update lakin kwenye zile application zote zimetikiwa, isipokuwa database and application imepigwa "x" nikiupdate inafikia 16% inaganda hapo...msaada plz
 
kaspersky inataka internet iliyotulia sana ili i update 100%...kwa net zetu za kibongo hizi mi simshauri mtu kabisa kutumia kaspersky..go fo Microsoft Security Essential..haina longolongo!!
 
ahsante sijui nini! sasa wat do i have to do, yaani toka mchana nahangaika, mara nikigoogle wanasema ni change clock, i did bt nothing, sasa wengne kuna advice et kaspersky z nt connected to internet, sasa niikonekitije?
 
Tumia antivirus ya Avira ipo poa kabisa, kespersky inahitaji Internet yenye speed kubwa na ya uhakika kwa hizi modem zetu za tigo huwezi itakusumbua sana.
 
Tumia antivirus ya Avira ipo poa kabisa, kespersky inahitaji Internet yenye speed kubwa na ya uhakika kwa hizi modem zetu za tigo huwezi itakusumbua sana. Kama bado unaipenda basi tafuta internet yenye speed kubwa ili ku-update .
 
labda try kutumia modem ya voda ile ya unlimited tumia zile mB 700 za faster...kama ikiwa ovyo tumia avira.
 
Back
Top Bottom