hellow wanajf,nawapenda na ninaomba mnikaribishe jf na mimi niwe member.

hv majeruhi anatakiwa lzm awe pf3 ndio apate matibabu anapofika hospital naomba mnijuze wajf

  • majeruhi asihudumiwe huenda akawa jambazi.

    Votes: 0 0.0%
  • lzm awe pf3 na barua katibu kata

    Votes: 0 0.0%
  • ukimtibu atakushukuru hata bila pf3

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2

kasiwani

Member
Mar 4, 2012
25
2
kwa mimi kujiunga jamii foram ninaimani kwamba mengi nitajifunza na nitapata upeo,pia nitaweza kuchangia hoja mbalimbali na vilevile kutuma hoja au matukio mbalimbali,jamii forum idumu zaidi na zaidi,nawasilisha.
 
nawashukuruni sana wanajf kwa makaribisho mazuri,naamini kwamba tuta shirikiana vizuri ktk kuleta na kuchangia hoja mbalimbali,asante
 
Back
Top Bottom