Hellooooooooooo great thinkers.

KARLMARX.

Member
Jun 3, 2012
5
0
Wadau, jf inanipa raha sana na sijui nianzie wapi. Nafurahi kuwa mwanachama, naomba ushirikiano wenu ili niweze kuifaidi vizuri kama nyie wanaharakati wenzangu. Avetar na majina yaliopo humu ndani pamoja na quotation zinashangaza sana. Ningependa pia kuweka zakwangu lakini siwezi. Busara zilizopo humu zinaonyesha wana jamvi ni watu makini sana.
Hakika jf is a strategic thinking tank.

Naomba kuwasilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom