hello

:welcome:unagonga, wakati uko sebuleni tayari, jisikie uko home!
 
dah mpwa hebu angalia hapa chini



umeshaanza chenga mapema ivi? hakyanani utakuwa mwenyeji wewe ngoja nitafute mawani......haya he/she?:becky:

Na huwa najua miwani :glasses-nerdy:yako haikosei linapokuja suala kuchunguza jinsia
 
karibu sana mrembo.. umegonga hodi mahala pake! jukwaa la mahusiano na mapenzi!! naomba huu uwe ndio uwanja wako!.. wafuasi wengi wametukimbia kwenye mambo ya uchaguzi! PM invisible akupe access katika jukwaa la mambo ya kikubwa
karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom