hello!!

Nasikia bado papo.
Chimbo la Mianzini liko hapa mbele baada ya msaada Kilimani,ila pale kuna mabasha kibao wa kumwaga.
Vigae pana umeme japo pako hovyo sema mimi nafataga nyama choma yao ila lile chimbo utatafutwa Dar nzima hutoonekana,
Corner Bar hapafai pale zile saluni za mbele kulia baada ya mashine kuna rafiki zangu wambea hao,hawakawii kukinukisha home.
Wewe nyoosha maelezo,
Sia bar kuna chimbo kama 2,unaisemea ipi?
Hvi kweli hujawahi kuingia Makuti au pale T.Resort?
Hahahaha! Uzuri wa Makuti kama unasubiri mtu wako afu asitokee, palepale unakabiziwa kimeo kama utahitaji....LOL (Usisahau, haya yote naambiwaga na marafiki zangu wakware). Naskia pale Mianzini kuna midume inakaa pale spesheli kama kuna fumanizi kazi yao ni kumsaidia aliyefumania kusikomeza storongo zao kwenye kinyeo cha mfumaniwaji....

Na pale VIP nasikia vigodoro vyake vimefubaa vimekuwa kama ngozi, mkitoka hapo lazima mmoja wenu akajichue, ni kweli? Hivi pale Mndeni hujawahi ingia wewe na yule basha wako? Manake nawaonaga mnapiga sanamnapiga sana mtungi pale BM na PK. Na hapo Kibaoni ukiwa unashuka chini kupita kwa Mkwasa panaitwaje pale? Najua lazima utakuwa unapakumbuka, mi sijawahi kufika hapo, nasimuliwaga tu. Nasikia siku hizi pamechoka.
 
yani pale Mianzini kama una dili lako sio pa kwenda.
Endapo wanamjua mkeo/mumeo wanamfata na kumpeleka mpaka kunako room.

Makuti huwa nafataga disco lao tu,hv yule Mc Mzima kweli mbona kama kitamboo tayari washaharibu?
Mdenyi Inn pale pako shotishoti hapajulikani Bar wapi nanilii wapi.
BM pako poa sana angalau kuna vipedeshee uchwara.
PK nako so mwaa ila utanuzi wa barabara umetukatia stimu sisi walevi na wanywaji.
VIP ulisikia kama ilishauzwa e?
Halafu kuna siku nilikuona pale umekumbatia bonge la jimama hv sio yule Kidawa wa karibu na kwa mzee Msimaya?
Kibaoni kwa Mkwassa kule chini?
Pale palipokaa utadhani gereji?

Hv ulishagaingia chimbo moja linaitwa Mbuyuni?
 
Khaaaaa!!!.....Sredi Klozd!!! :closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:

:focus::focus::focus::focus:
 
Ama!!! kuna mgeni hapa? cacico upo wapi mamito?
nipo babito, nawaangalia tu Madame B na hubby wanavyoutumia muda wa mkoloni kwa kuzungumzia nyumba za kulala wageni! wangewauliza wabunge, wanakuwaga wanajua sana hii makitu, sababu huwa wanavitumia sana hivyo vyumba wawapo kwenye macampaign, mzima wewe??
 
Last edited by a moderator:

Popote ulipo Madame B, si unaona tushafumaniwa? Ingekuwa Mianzini saa hizi kwisha habari yangu.

Haya tusepe!!
 
Last edited by a moderator:
nipo babito, nawaangalia tu Madame B na hubby wanavyoutumia muda wa mkoloni kwa kuzungumzia nyumba za kulala wageni! wangewauliza wabunge, wanakuwaga wanajua sana hii makitu, sababu huwa wanavitumia sana hivyo vyumba wawapo kwenye macampaign, mzima wewe??

Mzima shem wangu mpenzi cacico nakusubiri tu.....lol
 
Last edited by a moderator:
yani pale Mianzini kama una dili lako sio pa kwenda.
Endapo wanamjua mkeo/mumeo wanamfata na kumpeleka mpaka kunako room.

Makuti huwa nafataga disco lao tu,hv yule Mc Mzima kweli mbona kama kitamboo tayari washaharibu?
Mdenyi Inn pale pako shotishoti hapajulikani Bar wapi nanilii wapi.
BM pako poa sana angalau kuna vipedeshee uchwara.
PK nako so mwaa ila utanuzi wa barabara umetukatia stimu sisi walevi na wanywaji.
VIP ulisikia kama ilishauzwa e?
Halafu kuna siku nilikuona pale umekumbatia bonge la jimama hv sio yule Kidawa wa karibu na kwa mzee Msimaya?
Kibaoni kwa Mkwassa kule chini?
Pale palipokaa utadhani gereji?

Hv ulishagaingia chimbo moja linaitwa Mbuyuni?

Mna maana hapa mnatishiana umahiri wenu wa kujua zimbo zaidi ya mwingine au?
 
Sio tunatishiana,
si unajua ukimbamba mtu ambae unadhani anafahamu eneo husika lzm mzinguane.
Usitufikirie vibaya mkuu Judgement.
 
Last edited by a moderator:
janeth Pen karibu nyumbani kwetu,huku ukiingia tu unakuja moja kwa moja mpaka kwangu,ili uandike particular:
haya Tunaanza
  • Id yako ya awali ni nan?
  • utakuwa tayari kuwa wangu ktk maisha yako yote jf na hasa chitchat?
  • umri wako
  • unapendelea ushikwe mahara gani,ili ujiskie fresh
  • je wewe huwa unahasira ukitongozwa?
  • je umewahi kudo?
  • utakua tayari kupoteza bahati hii?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom