hello!!

Unasoma kuruani au baibo? Tena anda eitin ndo wamekuwa wazoefu kuliko wakongwe. Kwa utoro ndo usiseme, hawatumii mlango wa sebuleni bali wa uani.

Astaghafullilah we babu,eti tunatumia mlango wa...!!wapi vile...???
Jamani wengine mabangaloo yetu hayanaga hayo makitu ya mlango wa uani.
Wageni wote na wenyeji tunapitia na kutokea mlango mkubwa wa mbele.

Babu kagua mgeni,kabla hajaondoka.
Nasikia ni She.
 
Stuka Madame B.... THINK!! Nlishaingizwa mkenge mtu alikuwa anajiita Rozina, akawa kaweka bonge la avatar ya mrembo. Mwanaume nikajitosa PM nikatongozamo na kupanga kideti tukavunje amri ya sita Tongori pale. Kufika napiga namba aliyonipa (Mi mjanja nlitumia simu ya swahiba angu klorokwini) Nikasikia inaita na njemba moja yenye miguu mitatu, mmoja kilema ikapokea. Mlango nloingilia ndio nliotokea ila kasi ya kuingilia haikuwa sawa na ya kutokea. Chezeya JF weye. Tafazali soma upesi afu unambie niidiliti hii posti. Sitaki wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA wasisome.
 
Last edited by a moderator:

We mchochelee tu makaguzi akijadedi kitu kimemsimika ! Kidole juu!
Familia yake utaiambia nini ?
 
Weweee mambo iko huku.
Kwa hyo unaimani wenye avatar na Id za she wanaweza wakawa ni He?
Asa ulikimbia nini?
Ungem'batua tu,kisha mngefanya siri.
Afu Pale Tongori Inn ni machinjio ya wake za watu,
wakezo Yummy, BADILI TABIA na cacico hawajawahi kuchinjwa pale kweli,nina wasiwasi napo.
Afu mafichoni balaa.
Haya idilitiemo fasta.
 
Unajua kufia vitani ni ushujaa mkuu Judgement?
Au haujawahi kufia tukioni?
Jaribu utatembea kifua mbele wallah tena nakwambia.
Familia yake kaipeleka kijijini ili yeye ale raha za dunia na vimwali.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Weweee mambo iko huku.
Kwa hyo unaimani wenye avatar na Id za she wanaweza wakawa ni He?
Asa ulikimbia nini?
Ungem'batua tu,kisha mngefanya siri.
Afu Pale Tongori Inn ni machinjio ya wake za watu,
wakezo Yummy, BADILI TABIA na cacico hawajawahi kuchinjwa pale kweli,nina wasiwasi napo.
Afu mafichoni balaa.
Haya idilitiemo fasta.
Hahahahaha! Na Lexus ni machinjio ya mabaamed au? Vipi kuhusu Kapongo, ulishaingiamo?
 
Yani Lexus,Kapongo,RedApple,Kwa mzungu,Vero Inn kote huko niliwapelekaga rafiki zangu tu.
Ila Kapongo usiku panatisha pale uwanjani.
Vipi uliingiamo Mwarobaini?
Ha ha ha ha!
Nackia nasema nackia pana kunguni eti kweli?
 
Yani Lexus,Kapongo,RedApple,Kwa mzungu,Vero Inn kote huko niliwapelekaga rafiki zangu tu.
Ila Kapongo usiku panatisha pale uwanjani.
Vipi uliingiamo Mwarobaini?
Ha ha ha ha!
Hivi Red Apple kuna chimbo kumbe? Hahahahah Mwarubaini? Kisa cha kupeleka kunguni nyumbani? Ila KingStaa afazali kuna magodoro Dodoma na vitanda havilii (Kwa mujibu wa marafiki zangu) Decca in nako? Lol ila Kitimoto enzi zake napo bana...khaa!!!
 
Far away.
RedApple club imevunjwa pamegeuzwa lodge.
Pale alipokuwa anapigia mziki Dj,pamekuwa chumba namba 5(nimeambiwa tu),
Kingstar pazuri sana sema ile nyumba ya pembeni alikuwa anakaa shost angu mnoko huyo ndo mana nilikuwa naenda kwa kujificha.
Decca siku hzi kumedoda si kama enzi zile za wale Wazaire wachafu,
Kitimoto nayo vyumba ndani havijamaliziwa mpaka wa nje anawasikia makelele yenu.
Vp unapakumbuka kwa Mangi pale karibu na Kwa Mwanjesa Bar? hujawahi kwenda kweli wewe?
Halafu kuna hapa Rainer Park vp ulichinja watu wangapi pale?
Ha ha ha ha ha.
 
Hahahaha kwa Mangi pale bana dah! Naona siku hizi pamedoda.... Sijui bado papo? Ila Reyna kuna rafiki yangu alinambia vitanda vinalia sana. Kuna mtu alinambia kuna chimbo linaitwa Mianzini, hivi ndio wapi huko? Ila kuna siku nlikuona unaingia Vigae, vipi wameshaweka umeme? Ila usithubutu kwenda Corner bar, nasikia (kwa mujibu wa madereva wa malori naowafahamu) Ni danguro dogo lazima utoke na chawa. Vipi pale pembeni ya Sia Bar, panaitwaje pale?
 
Nasikia bado papo.
Chimbo la Mianzini liko hapa mbele baada ya msaada Kilimani,ila pale kuna mabasha kibao wa kumwaga.
Vigae pana umeme japo pako hovyo sema mimi nafataga nyama choma yao ila lile chimbo utatafutwa Dar nzima hutoonekana,
Corner Bar hapafai pale zile saluni za mbele kulia baada ya mashine kuna rafiki zangu wambea hao,hawakawii kukinukisha home.
Wewe nyoosha maelezo,
Sia bar kuna chimbo kama 2,unaisemea ipi?
Hvi kweli hujawahi kuingia Makuti au pale T.Resort?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom