Hello !,

Ahahahahaaah! Hilo jina lako mkuu linatisha, umetokea wapi wewe! Karibu sana jamvini.
 
Karibu Mkuu., Karibu Sana..
By the way Jina lako any meaning ?, nisije nikawa ninamkaribisha nyoka...
 
Karibu sana ila nina mashaka na wewe maana unaonekana ni kama umekuja KUCHEZA humu,na jina lako linaonesha nyoka,ndio unaocheza nao mpaka unataka tucheze na wewe?
 
Karibu sana ila nina mashaka na wewe maana unaonekana ni kama umekuja KUCHEZA humu,na jina lako linaonesha nyoka,ndio unaocheza nao mpaka unataka tucheze na wewe?
Umemuona analeta mchezo huyu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom