Hello waungwa

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
JamANI MWENZENU NAHITAJI MSAADA WENU KUHUSU SWALA LA KULINK TEMBOVISA CARD KWA PAYPAL. KatikA KIPENGELE CHA KUVERIFY BANK A/C KUNA SEHEM WANAULIZIA BANK ROUTING NUMBERS. Je ni namba gani hizo na unazipataje? Naomba mchango wenu wanajamii wenzangu
 
Nenda kwenye benki yako kaombe namba hizo watakupatia. Hizo namba huwa zinasaidia kufanya malipo kwa wire transfer.
 
JamANI MWENZENU NAHITAJI MSAADA WENU KUHUSU SWALA LA KULINK TEMBOVISA CARD KWA PAYPAL. KatikA KIPENGELE CHA KUVERIFY BANK A/C KUNA SEHEM WANAULIZIA BANK ROUTING NUMBERS. Je ni namba gani hizo na unazipataje? Naomba mchango wenu wanajamii wenzangu
Utasumbuka wee mwisho wa wakati Utaishia kulala!!Iko hivi mazeya,Benki nyingi za Bongo hawana routing number isipokuwa wana swift code kwa crdb tanzania ni CORUTZTZ lakini tatizo lipo hapa,Visa card (electron) huwezi fanya manunuzi ya mtandao (online) unaweza kupata pesa kwenye ATM(sio zote duniani) na counter kununua lakini sio Online.So kwa wazo la haraka haraka nafikiri itakuwa ngumu ku link account yako kwa Paypal unless otherwise Paypal Int wame na makubaliano rasmi na CRDB. Kama upo Nje ya Afrika ni PM nikupe njia rahisi ya Kulipia Paypal
 
Back
Top Bottom