hello wanajamii foum

kitiga

New Member
Aug 30, 2011
2
0
Ndugu zanguni mimi ni mwana JF mpya nomba niwape hongera kwa kulisukuma mbele jamvi hili la JF.Naomba tushirikiane ili tuzidi kulipeleka mbele zaidi jamvi hili maana ni la muhimu sana katika kupashana habari; na kuelimishana mambo mbalimbali sisi wenyewe.Asanteni sana na tuko pamoja
 
akili, ubunifu una takiwa humu ndani, uyaonayo humu yavumilie, ya heshimu, na mwsho wa julishe wasio jua wajiunge.
 
Karibu. Kama avatar inajieleza, kama unatumia dawa, kipo kitu cha Arusha.
 
Back
Top Bottom