hello wana jf

mbona mama diana kawa kama muuza mchicha anaitia watu mboga huku anaendelea na safari zake..

mgeni mwenyewe kala kona lakini haina mbaya karibu sana jamvini zingatia sana jf rules..
 
Mama Diana,karibu sana JF..............Diana naye pia anakaribishwa,...............baba Diana pia kwa mikono miwili naye anakaribishwa...........umeomba msaada..........lakini hukuwa wazi ni msaada wa nini,waungwana wamekukaribisha lakini hukuitikia ukaribisho huo...........,nikushauri tuu,...........ustaarabu ni kuitikia ukaribisho angalau na kusema asante,........ni hulka yetu sisi watanzania kukaribishana na kujuliana hali................kama hukuwa unaelewa hivyo basi nikusamehe kwa niabanya wengine...........,na nichukue nafasi hii kukukaribisha tena jukwaani,wewe,diana na wale wengine wote wenye mapenzi mema kwako,....diana na hata baba diana...............nimatumaini yangu utajirudi na kuitikia salama za ukaribisho,...............ikiwa pamoja na kutufikishia salam zetu kwa Diana na baba diana..................jina Diana limenikumbusha mabali kidogo,................nimekumbuka Dodi,...............paparazi,..........mungu awajalie pumziko la milele wapenzi wale,amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom