hello wakuu

jamaa kapiga kiroba kachanganya na safari mbili za moto - hapo lazima akili iwake moto. - ha ha ha
 
Majungu bongo ndo kama dawa ila nawashukuru kwa kunikabisha cz mambo ni MOB sana
 
Kijana hapa umefika,angalia usije ukajisahau ukadhani fb hapa!Kunangumi zauso,tumbo nahapo kati kuwa makini namichango yako pia post zako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom