hello there guyz!

Sitakutimwa

New Member
Jul 20, 2012
1
0
I have a 27 yearz old cousin with an Advanced Diploma in Accounts (ADA), Post Graduate Diploma in Financial Management (PGDFM) and a Masters of Science in Finance (Msc-fin) fresh from school with NO EXPERIENCE kabisa! Hebu nikuombeni mnisaidie kumshauri aanzie wapi na ategemee nini mbele yake!
 
shida ya kusoma bongo,angekuwa amesomea Ulaya na America sasa hivi angekuwa miguu juu..mpe pole,Nani atamtaka mtu wa Masters huku hana experience.Mwambie akaombe kazi vyuoni ndiyo wanawapenda wa namna hiyo..
 
mi nadhani watu hamjalazimishwa kuandika humu, kama huna jibu, soma kisha pita kuliko kutoa majibu ya kukatisha watu tamaa.
majibu mengine yanatia kichefuchefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom