Hello, Thanks for having me...

Am a Ugandan so my first priority is to learn Swahili (Ha!) and I really want to mix with East Africans. I am an activist (so I must be in the opposition right?) I live in Florida, USA but I forgot to pack my heart and soul. Those I left in Uganda 8 years ago. Let's talk, get to know each other and make this East African thing a reality...

Anne Mugisha

Bigenda bittya?

Karibu
 
Nimefurahi sana kwa welcome nilipata hapa on JF. Wana Uganda hatujui Swahili vizuri, bali tunajua upendo. Na mimi sitaki lugha ya hatred basi ninawaza I will fit in somehow. My Swahili is already improving by leaps and bounds even if it is terrible to you... Thanks again. Nataka kuelewa na ku jifunza how to become a real East African...Thanks
 
Anne Mugisha,

Ulisema kipaumbele cha kwanza (first priority) ni kujifunza Kiswahili, lakini umeshaanza kusema wapata wazimu (going crazy) kutafuta maana za maneno yangu kwenye kamusi. Huna nia ya dhati (diligence) kujifunza weye.

Hata hivyo ni kweli kamusi za mtandaoni (online dictionaries) ni michosho, mbovu. Huwezi pata maneno mengi. Ni bora hata uulize wadau wa hapa badala ya ile kamusi uchwara (crummy dictionary) ya Yale University.

Nilichosema pale ni kuwa, wewe umeonyesha una weza kuvumilia majadiliano yenye misuguano ya hapa na pale (heated back and forth) bila kughafirika (without being rattled). Ni vema sana manake hapa utahitaji hizo hulka.


Worthless? Of poor quality? ...ukiilinganisha na ipi babaa?!

Sidhani kama umewahi kupitia historia ya KamusiProject kujua kwanini ilianzishwa. Btw, hicho kionekanacho ni matokeo ya kazi iliyofanywa na watu wachache tu.

Ningetaka kujua, kwanini ukatoa statement kama hiyo.
 
Karibu JF Anne.

Can't wait to hear the long story. Expecting lots of threads on Ugandan politics from you.
Kikojozi, it is a really long story! Most of it you can Google using my name and looking at articles from 2000 and 2001 in Ugandan papers. Sitaki ku sumbua members na long story too soon. It will unfold on Google if you are interested.
 
Asante sana Dilunga, Ngabu na Blu Ray. Unfortunately hakuna matooke or Kabalagala hapa Florida. Am in Plantation, Florida which is near Miami. Mimi ni mwanaharakati wa political rights and freedoms. Lakini am an absentee leader in Uganda's largest opposition political party FDC www.fdcuganda.org Nime kimbiya from regime ya Uganda...(long story for another day). Uganda tuna ongea second hand English and third hand Kiswahili! Nimeshindwa kurudia Uganda because of my big mouth as you can see here http://www.thepetitionsite.com/2/stop-the-export-of-us-corporate-greed-to-africa and here The Observer - ANNE MUGISHA: Our work is far from done I really can't understand no. 5 am sorry Dilunga.
Asante for the warm welcome.

AM

Kwanza karibu sana ndani ya JF, lakini kwa nini umeikimbia nchi yako kwa kipindi kirefu namna hii. Kwa kuwa ni Activist nakishauri urudi nyumbani kuungana na wanaharakati wenzako ili kuiokoa Uganda kwenye masuala ya Politics.
 
Kwanza karibu sana ndani ya JF, lakini kwa nini umeikimbia nchi yako kwa kipindi kirefu namna hii. Kwa kuwa ni Activist nakishauri urudi nyumbani kuungana na wanaharakati wenzako ili kuiokoa Uganda kwenye masuala ya Politics.
The Famer, mambo zangu na Movement ya Museveni ni ngumu sana, lakini nitarudi nyumbani baada ya kumaliza harakati ya ng'ambo. Inawezekana ku rudi baada ya 2011. -- Mungu ansaidia...
AM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom