Hello people

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
Hello My people nimefurahia kuona hii Forum Pekee yaki Tanzania!
mimi ni Mtanzania.
My name(jina):Khalid Salim
I live :in Dares Salaam
Nina miaka:18
Ninapenda na kujua mambo mengi ya software and jinsi ya kutatua matatizo ya computer and blogging ninapenda kucheza gamiing stuff like Pc gaming ,PSP gamin and others!!
 
Karibu sana ndani ya JF. Hayo mambo ya software utayajua vizuri sana ndani ya JF kwa sababu wataalamu wa hayo mambo wamo humu ndani. kwani wewe unapenda software zipi? Windows based software au ni Unix/Linux based software???
 
Back
Top Bottom