hello ndugu

Cassanjr kuna sehemu yake ya kujitambulisha....hebu do the needful then urudi hapa!
 
Mbona mnamtisha kihivyo? suppose mngefanyiwa hayo nyinyi ingekuwaje? Karibu bwn, jimwage kisawasawa.
 
Mbona mnamtisha kihivyo? suppose mngefanyiwa hayo nyinyi ingekuwaje? Karibu bwn, jimwage kisawasawa.
hamna mtu aliyemtisha ila anaambiwa ukweli, wewe hujui kuwa sasa hivi shule na vyuo vimefungwa unaweza ukamkaribisha kumbe under 18 akakumbana na mambo makubwa humu yakamchanganya akashindwa kusoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom