Hello jf! Nimekuja rasmi kukpinga uonevu wanaoufanya CHADEMA nchini.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Hello jamani! Nikaribishen mkombozi wenu kwa wote mnaoonewa na magwanda.
 
Karibu jamvini, ila uwe na hoja madhubuti. Hapa ni GT watupu, ukiteleza umekwisha.
 
Wewe..umetumwa au umekuja mwenyewee..
Karibu ukae..wahusika wametoka kidogo..jckie huru
 
Na tunaoonewa na magamba? Manake bora gwanda linafunika, gamba linakera haswaa!
 
Sidhani kama ni mgeni wewe. Mbona sura yako sio ngeni? Naona umebadilisha suti tu. Huwa nakuona na suti ya kijani, leo umetinga na suti ya njano. Hata hivyo, karibu. Nikikumbuka jina lako unalotumia ukiwa na suti ya kijani ntakuja kusema.
 
Huyu mwenyeji eeeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom