Hello JF Members!

Shebi Gwara

Member
Mar 30, 2010
14
5
Kiukweli Am Glad leo kuwa member HALALI wa JF, Ni kwa muda mrefu nilikuwa naitamani nafasi hii ya kuwa mmoja wa WADAU wa jukwaa hili, nikaona kwanini NIFE na MAUMIVU yangu?Kwa hiyo 1 namshukuru Mwenyezi kwa kunipa moyo wa ujasiri wa kuamua kukutana na WAUMIZA VICHWA WENZANGU kwa sababu naamini yeye ndo kila kitu, lakini 2 niushukuru utawala kwa kuanzisha FORUM kama hii ili vijana hata na wazee tupate kujadili yanayotokea duniani lakini,
Ombi langu kubwa MNIPOKEE mdau mwenzenu na pale ntakapoteleza basi naomba mnikosoe kwa sababu naamini kuwa;
A life spent in making mistakes is not only more honourable but more useful than a life spent in doing nothing. By George Bernard Shaw.
 
Tafadhali weka kwenye kumbukumbu zako kuwa mimi ndiyo wa kwanza kukukaribisha humu. Sawa kaka/dada?
Ngoja nicheki na PakaJimmy a do the needful.
 
na mie nakukaribisha kwa mikono miwili inaonekana wewe ni mwana diplomasia ?
 
Jamani oneni hii msg ya chrispin,

Tafadhali weka kwenye kumbukumbu zako kuwa mimi ndiyo wa kwanza kukukaribisha humu. Sawa kaka/dada?
Ngoja nicheki na PakaJimmy a do the needful.

alafu oneni reply ya huyu...

Nashukuru kaka/dada kwa kunikaribisha, lazima niweke kwenye kumbukumbu zangu ondoa shaka.

Nadhani ipo haja ya kueleza jinsia kwa wale wasio kuwa na picha na wenye majina ya ajabu ambayo hayaeleweki kama ni me au ke..!
 
ha ha ha D5 are you she or he? tuanzie hapo kwanza..
 
Haha haa mi picha inajieleza sa sijui mwenzangu jina la KIM kama ni me au ke
Hehehe! Stuka!

Kuna mtu aliweka avatar ya demu mkali. Nika fall in love na avatar. Mambo yakaanzia kwenye PM. Then nikapewa namba. Nikaipiga baada ya siku tano nikakumbana na besi kama la Chameleon!

Na hadithi yangu imeishia hapo.
 
Picha nini banaaaaa.........??? wengine mashoga ............ wengine ma-SHEMALE........ hata ma-AUT Dxx...... wanaweza kuwepo
Hata hivyo karibu sanaaaaaaaa..................
 
Hehehe! Stuka!

Kuna mtu aliweka avatar ya demu mkali. Nika fall in love na avatar. Mambo yakaanzia kwenye PM. Then nikapewa namba. Nikaipiga baada ya siku tano nikakumbana na besi kama la Chameleon!

Na hadithi yangu imeishia hapo.

Haha haa inamaana akina wale wazuri wazuri kwenye avatar zao huenda si wenyewe, dah unanitisha manake na mi nilishaanza mdogomdogo kwa mmoja wao, loh!
 
Hehehe! Stuka!

Kuna mtu aliweka avatar ya demu mkali. Nika fall in love na avatar. Mambo yakaanzia kwenye PM. Then nikapewa namba. Nikaipiga baada ya siku tano nikakumbana na besi kama la Chameleon!

Na hadithi yangu imeishia hapo.

hahahahahaha lol thats funny :smile-big:
 
Kiukweli Am Glad leo kuwa member HALALI wa JF, Ni kwa muda mrefu nilikuwa naitamani nafasi hii ya kuwa mmoja wa WADAU wa jukwaa hili, nikaona kwanini NIFE na MAUMIVU yangu?Kwa hiyo 1 namshukuru Mwenyezi kwa kunipa moyo wa ujasiri wa kuamua kukutana na WAUMIZA VICHWA WENZANGU kwa sababu naamini yeye ndo kila kitu, lakini 2 niushukuru utawala kwa kuanzisha FORUM kama hii ili vijana hata na wazee tupate kujadili yanayotokea duniani lakini,
Ombi langu kubwa MNIPOKEE mdau mwenzenu na pale ntakapoteleza basi naomba mnikosoe kwa sababu naamini kuwa;
A life spent in making mistakes is not only more honourable but more useful than a life spent in doing nothing. By George Bernard Shaw.

hata mimi ndo nimeingia tu hapa muda si mrefu ..... nimekaribishwa vizuri sana na wana JF .... na mimi napenda kuku karibisha ... have fun:smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom