Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,416
- 92,764
Mama Porojo amekaa kiporojoporojo tu, don't take him/her serious!Hii nchi haipo dunia

mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.

Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?
- Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
- Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
- Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?
Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno NAMTAKA kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.
mama Kijo ni mtusi tusidanganyane hapa aliolewa na mtanzania kuna habari kuwa ama ana uraia wa nchi mbili au hajaukana uraia wake wa Lwanda.
Mkuu kuna sehemu moja inaitwa hivo ipo Uganda pengine ndo nyumbani kwaoHii nchi haipo dunia
Mimi nadhani tatizo lake ni kwenye maandishi mekundu hayo. Inawezekana ametemwa ki-aina si unajua tena yale mambo binafsi yanavyoumiza moyo?Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?
- Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
- Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
- Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?
Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno NAMTAKA kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.
Jk angekuwa kama kagame tusingesikia kauli hizo kagame si kiongozi wa kulea migomo.Ebu arudi kwao Rwanda tuone kama Kagame atamvumilia na hizo kiburi zake
Pamoja na kujua kuwa HELLEN KIJO BISIMBA ni Mkurugenzi wa Kituo cha haki za binadamu , Kauli zake za hivi karibuni kuhusiana na mgomo wa Madaktari zimenifanya nisiishie kumjua kwa wadhifa huo . Nanukuu kauli zake "NAMTAKA RAIS KIKWETE AWAFUKUZE KAZI WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAZIRI WAKE LUCY NKYA" aidha NAWATAKA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA WATNZANIA ANNE MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGHAI WAWAOMBE MSAMAHA WATANZANIA "
Je Nguvu ya Mama huyu inatokana na moja kati ya haya yafuatayo?
- Ni Mkurugengi wa haki za binadamu nchini?
- Ni kwa sababu anataka kuonesha wahisani kuwa pesa wanazowapa hazipotei?
- Au Mama ana mambo binafsi nje ya kazi dhidi ya Waziri wa afya na naibu wake maana naye ni binadamu na ni mwanamke na inawekana kabisa kuna wataki amEikosa haki yake ya msingi kama binadamu na labda mmoja kati ya viongozi hawa wawili ndiye chanzo na akaamua kutumia nafasi hiyo kuutuliza moyo wake?
Mimi naamini kwa Msomi na hasa Mwanasheria kama BISIMBA ambaye siyo mwanasiasa manake mwanasiasa siyo lazima awe amekwenda shule asingeweza kutumia neno "NAMTAKA" kwa viongozi wa ngazi ya juu kama Rais au SPIKA.
Nawasilisha.
Mbona hizi porojo za kwamba wanaharakti wanafanya hv hili wapige picha wapelekee wahisani waendelee kulipwa mpunga zinaibuka sana??? Mbona mwanzo haya maporojo hayajakuwepo? Kwa kazi wanayofanya ni kubwa sana inabidi tuiweke kwenye ktb kwamba wawe wanapewa ruzuku.
Wanajamvi tusidanganyane! Haki haiombwi ila inatakiwa. Hivyo mama Kijo kasema kweli wala tusiingize utusi au unyarwanda ndio maana tunaumia kwa sababu ya kuomba haki yetu badala ya kuitaka!......