Elections 2010 Helkopta ya JK yakwama kutua Ngara, ahairisha mkutano

Hali ya Hewa Ngara, Tanzania :
[video]http://weather.msn.com/tenday.aspx?wealocations=wc:7428340&q=Ngara%2c+TZA+forecast:tenday[/video]
 
Hali ya Hewa Ngara, Tanzania :
[video]http://weather.msn.com/tenday.aspx?wealocations=wc:7428340&q=Ngara%2c+TZA+forecast:tenday[/video]

Kaidi mazee, wanaonyesha Ngara upepo 10 mph, kijua kizuri tu hamna mvua wala nini ( precipitation chance 5%). Sasa hii hali ya hewa ni ya wapi na kwa muda gani?

Watu hawategemei magazeti ya chama na serikali tena siku hizi, vitu vinaweza kuwa verified independently.
 
Hapo kuna kausanii kanaendelea mitaa ya huko. Huenda alikuwa anaendelea kusikiliza albam mpya ya VK wa mkoa wa Katavi baada ya kushinda kwenye viti maalum!!! Muziki mpaka bungeni na baadae mambo ya njee,,, kuponda maraha kwa kodi za wananchi.
 
You can fool some of the people some of the time. Sisi tunaotoka mikoa ya kanda ya Ziwa tunajua hali ya hewa hivi sasa August 25 ikoje. You cannot fool us.
 
Kibunango bwana

Yani wewe mwenyewe umec-cite kwamba alipata shock, tena basi sababu imesemwa, na unalinganisha na case ya JK?? tena inayoendana na helikopta, badala ya kupeleka kule kwenye jangwa episode 2??

eniwei, sina hakika jana nilisikia kwenye bar wanasema yale mambo yetu ya kiswahili huwa yanageukaga

ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yah nimewahi sikia pia
 
kikwete apumzike ajitoe kugombea kwani kwa hali hii tunaweza kuingia gharama tena ya uchaguzi. Afya kama ni mbovu ni mbovu tu huwezi kuilazimisha afya sio jengo kuwa utatumia matofali akae pembeni aangalie afya yake la sivyo kinaweza kikamkuta kifo katika mazingira mabaya
 
Climatic conditions zipi hizi zinazojulikana? Hazibadiliki?

Mbona watu wanashindwa kuwa specific in a verifiable way kama vile "kulikuwa na kimbunga pande fulani fulani" watu tuhakikishe weather.com hapa ?

Ni huu usiri siri unaotufanya tuweke maswali mengi, hata kama kitu ni cha kweli, watu wakiweka usiri mwingi na kuwa non specific wanasababisha maswali mengi kuliko wanayojibu.
Climataic condition zinajulika ni za equtorial tulifundishwa O level thunder storm ,heavy rain through out the year. Binafsi sishangai wangesema hali ya hewa mbaya Dar ndo ningejiuliza mara sita sita. Wangeweza hata kusema Technical problem ya Helikopter yenyewe.
 
Hali ya hewa gani hiyo inasababisha helikopta ishindwe kutua na kuwezesha watu kibao kwenda kwenye mkutano? Helikopta hii ya aina gani? huko Ngara kuna kimbunga gani huko?

Au Kikwete bado mgonjwa wanaficha ?

kuna wakati huwa nakupenda kiranga.....

acheni kumroga rais wetu nyie tehe tehe.....hamchoki! mwacheni afanye kampeni hahahaaa ( hii haisuhu kotasheni ni topic nyingine).
mix with yours
 
kuna wakati huwa nakupenda kiranga.....
mix with yours

Nyakati gani hizo mkuu ?

Tafadhali usiniambie ni nyakati ninapowashambulia CCM tu, na nikiwageukia CHADEMA hunipendi.

Maana kuna watu humu hawaamini kwamba mimi ni "a non-partisan Tanzanian" ninayekata pande zote mbili.
 
Bukoba (1143m)

Local Time
10:00 BST = 12:00
.........................Temperature...Weather......Windmph...Humidity.....Visibility
Wed 25 Aug 12:00 24.5 °C............clouds............7...............66%..........30km
Wed 25 Aug 03:00 20 °C..............clouds............0................86%..........30km
Wed 25 Aug 06:00 20 °C..............few clouds......0................91%..........30km
Wed 25 Aug 00:00 21 °C..............few clouds......0.................86%.........30km

Last updated: Wed, 25 Aug, 10:30 BST

Kwa data hizi na visibility hii tena hakuna upepo mimi nina wasiwasi kama helikopta inaweza kushindwa kutua.
 
Climataic condition zinajulika ni za equtorial tulifundishwa O level thunder storm ,heavy rain through out the year. Binafsi sishangai wangesema hali ya hewa mbaya Dar ndo ningejiuliza mara sita sita. Wangeweza hata kusema Technical problem ya Helikopter yenyewe.

Ndiyo maana mkuu Bagamoyo akaleta link inayoonyesha hali ya hewa ya huko

Ten-day weather forecast for Ngara, TZA

Nikauliza waliko huko kwenye hali ya hewa mbaya ni wapi? Maana Ngara shwari, hamna mvua wala upepo mkali.

Tunataka serikali iliyo accountable, na kuwa accountable ni pamoja na kutoa statements zinazoweza kuwa verifiable. Sio kusema tu hali mbaya ya hewa, tuambieni "kutokana na kimbunga sehemu fulani" ili tuweze kufanya independent verification kwamba sehemu hiyo ilikuwa na kimbunga kweli au wanacheza shere.

So far hatuna sababu ya kuwaamini, maana wamesema Kikwete alianguka kutokana na swaumu, wakati mtu kaonekana alikunywa maji wakati anahutubia.

Yaani wanaongopea hata swaumu mwezi mtukufu wa Ramadhani sasa ? Na kama wameongopea swaumu mwezi mtukufu wa Ramadhani, vingine vipi wanaongopea ?
 
Kwa nini u hope katika kitu kinachoweza kuwa verified ?

Sasa how can we verify wanachosema ni kweli au si kweli na nani wa kuverify.? Initial verification inaweza kuwa kutambua uwezo wa helikopta kuhimili hali mbaya ya hewani mdogo. Kumbuka hali mbaya ya hewa kwa ndege inaweza kuwa defined as catastropihic weather condition kwa helikopta.
na mwisho wa siku Rubani ndo ana say ya mwisho.
 
MKUTANO wa Kampeni wa CCM wa Jakaya Kikwete, leo majira ya saa 10 umeshindwa kufanyika wilayani Ngara mkoani Kagera kutokana na Helkopita yake kushindwa kutua kutokana na Hali ya hewa.


Kutokana na hali hiyo imembidi mwenyekiti wa CCM wilayani Ngara Hellena Adrian alilazimika kuwataarifu wananchi kuwa mkutano huo hautafanyika ikiwa ni majira ya saa 11:30 jioni na kueleza kuwa badala yake mkutano huo utafanyika kesho majira ya saa 2: 00, na kubainisha kuwa Kikwete amelazimika kusafiri kwa Magari.


mhhh atakuwa kaanguka tena akiwa ndani ya helkopta...aiseeeeee
 
Sasa how can we verify wanachosema ni kweli au si kweli na nani wa kuverify.? Initial verification inaweza kuwa kutambua uwezo wa helikopta kuhimili hali mbaya ya hewani mdogo. Kumbuka hali mbaya ya hewa kwa ndege inaweza kuwa defined as catastropihic weather condition kwa helikopta.
na mwisho wa siku Rubani ndo ana say ya mwisho.

Wamesema hali ya hewa mbaya, waseme hali ya hewa ya wapi tuangalie ilivyokuwa siku hiyo. Helikopta inaweza kupatikana model yake na watu wakaangalia inaweza kuhimili hali hiyo au la.

Rubani anaweza kuwa na say ya mwisho mkiwa ndani ya ndege/ helicopter, lakini akitoa statement inayoweza kuwa verified nje ya ndege/ helicopter, hana monopoly ya ukweli.

Kikwete anaweza kabisa kuwa alizimia tena, yeye machinery ya campaign yake wakadanganya watu helikopta imeshindwa kumpeleka Ngara kutokana na hali mbaya ya hewa, na wananchi kama mazuzu wakakubali tu bila kuuliza maswali.

Ndiyo maana nikauliza, hali gani ya hewa hiyo? Sehemu gani hiyo? Helikopta gani inashindwa kutua sehemu yenye visibility ya 30 miles na upepo wa 10mph ?

Au kuna kingine ? Au Kikwete kaambiwa kutokana na matatizo yake asipande midege na mi helikopta kama anaweza kwenda kwa gari ?
 
Hizo data za weather zinaweza kuhojiwa usahihi wake sababu utaulizwa wamezitoa kutoka weather station ipi .. It could be true weather haikuwa nzuri.
Ni uwanja gani wa ndege tanzania unaongoza kwa ndege kushindwa kutua na kurudi zilikotoka. Ni kigoma na Bukoba
 
Hizo data za weather zinaweza kuhojiwa usahihi wake sababu utaulizwa wamezitoa kutoka weather station ipi .. It could be true weather haikuwa nzuri.
Ni uwanja gani wa ndege tanzania unaongoza kwa ndege kushindwa kutua na kurudi zilikotoka. Ni kigoma na Bukoba


Toa Statistics za hilo!
 
Back
Top Bottom