Mongoiwe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 524
- 263
MKUTANO wa Kampeni wa CCM wa Jakaya Kikwete, leo majira ya saa 10 umeshindwa kufanyika wilayani Ngara mkoani Kagera kutokana na Helkopita yake kushindwa kutua kutokana na Hali ya hewa.
Kutokana na hali hiyo imembidi mwenyekiti wa CCM wilayani Ngara Hellena Adrian alilazimika kuwataarifu wananchi kuwa mkutano huo hautafanyika ikiwa ni majira ya saa 11:30 jioni na kueleza kuwa badala yake mkutano huo utafanyika kesho majira ya saa 2: 00, na kubainisha kuwa Kikwete amelazimika kusafiri kwa Magari.