Helikopta ya kukodi

Slim

Senior Member
Nov 12, 2008
103
119
Habari ya leo wakuu!

Natafuta helikopta ya kukodi kwenda shinyanga na mwanza. Yeyote mwenye kuweza kunisaidia details , gharama..namba ya pilot...nitashukuru. Nawakilisha.
 
Kwenye magazeti hasa Mwananchi kwa muda sasa kuna matangazo ya helikopta ya kukodi kwenda kwa babu, nadhani wanaweza kwenda mahali pengine zaidi ya kwa babu. Sina contact zao lakini kwenye tangazo lao kuna namba za simu.
 
Back
Top Bottom