Helikopta iliotoka tanzania bara kuzuia uamsho kuchoma makanisa imeishia wapi?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Kwanini haikutumika jana kupunguza idadi ya Vifo?
Badala yake zilitumika zaidi boti za Kutoka Zanzibar ambapo kwa kiasi kikubwa zilichelewa kufika.
kama ingalitumika Helikopta iliotumika kuzuia Uamsho hali isingefikia hivyo ilivyofikia
 
Kaka hizo helikopita ziko kwa ajili ya kupiga watu tu na wala si kuwalinda. Usitegemee hao jamaa(polisi) waokoe watu hata siku moja.
 
Kwanini haikutumika jana kupunguza idadi ya Vifo?
Badala yake zilitumika zaidi boti za Kutoka Zanzibar ambapo kwa kiasi kikubwa zilichelewa kufika.
kama ingalitumika Helikopta iliotumika kuzuia Uamsho hali isingefikia hivyo ilivyofikia

Hivi?
Hata katika masuala ya kufa weye ni suala la muungano?
Meli imesajiliwa wapi?
Ukaguzi inafanyiwa wapi

Weye waona uroda kupanda tu chombo kibove, uzembe na matokeo yake ni suala la muungano.
 
Back
Top Bottom