hela za DECI ziko wapo, sio zitumike na CCM kwenye uchaguzi?

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
Jamani, kipindi kile watu watu wa deci wamekamatwa, kuna hela kama Billion 11 walikuwa nazo..kiasi ambacho kilikuwa ni kidogo mno kuwalipa watu wote mbegu...kama wangekuwa wanalipa deci walitakiwa wawe na kama shs billion 50...lakini kwakuwa walikuwa na billion kumi na moja sijui (ndivyo nilivyosikia kwenye luninga wakiongea wenyewe)...hawakuweza..ninachotaka kujua kama kuna mtu mwenye fununu, hizo hela walipeleka wapi? je, waliwapa yatima, waliingiza kwenye NGOs au WATATUMIA CCM kwenye kampani kwenye uchaguzi huu? au ziko wapi...na je, ile kesi hivi iliisha, wale wachungaji wao wanaendeleaje...bado wako rumande au wametoka...
 
Back
Top Bottom