Heko!

Mgeninani

Senior Member
Jan 3, 2010
191
9
Majirani wa kota za polisi Kunduchi walifanikiwa kuudhibiti moto uliowaka moja wapo ya nyumba zao majira ya saa tano leo asubuhi na kufanikiwa kuokoa mali na vitu mbalimbali kabla ya vikosi vya zimamoto kuja na kumalizia kuudhibiti hekoni sana, ni tendo la nadra kuonekana ktk jamii zetu siku hizi!
 

Attachments

  • IMG0041A.jpg
    IMG0041A.jpg
    27.8 KB · Views: 148
  • IMG0043A.jpg
    IMG0043A.jpg
    37.3 KB · Views: 136

Similar Discussions

Back
Top Bottom