Heko spika makinda kwa hatua makini

How pathetic....
ha ha ha Ndio maana naipenda JF,jamani leo hujamuona alivyomshushua Makongoro Mahanga Kamkalisha chini kamwambia hataki miongozo miongozo hata Waziri mwingine aliyekuwa anataka kuendeleza kuomba mwongozo naye kakalishwa chini,Mama Spika annanza kusoma alama za nyakati au vipi
 
Back
Top Bottom