Heko Clouds FM kwa hili

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
IMG_6253.JPG

Kuweza kujua idadi ya watazamaji wakati mpira unakaribia kwisha ni hatua kwa kweli..
 
hongera clouds ..muwe na moyo huo huo ...tuwaombee tufike mabli technologia isitutupe mkono
 
Inaweza kua ni hatua moja, lakini bado tuna safari ndefu.
Hata hivyo hizo data zinachakachulika vilevile, wanaweza wakacheza na ile "Bar Code Reader" yao ikawaka taa tu kumbe kitu hakijasoma. Uwanja unachukua watu takribani alfu 60. Kusema wameingia 41,000 unamaanisha 30% ya viti vilibaki vitupu, jambo ambalo kwa tuliokuwepo uwanjani inakua vigumu kuamini.
Pia kwa sasa hata ukilipia VIP-B still utahitajika uwahi mapema uwanjani ili upate kiti, kwani wapo wanaokataga ticketi za bei ya chini kisha wanawashikisha polisi alfu 1-2 na kwwenda kukaa VIP.
Hili lingeweza kuepukika endapo tu viti vyote vingeweka "unique numbers" (jukumu la serikali) ili Clouds FM wachapishe ticket zenye "Seat Number" ambapo ukikuta mtu kakalia kiti "chako" iwe unarugusiwa kumtoa.
 
Kwa walioangalia mechi kwenye TV, Vp jamaa wanaweza kuonyesha mpira live?! Au ndo kama TBC goli limefungwa kamera inaonyesha washabiki..
 
Inaweza kua ni hatua moja, lakini bado tuna safari ndefu.
Hata hivyo hizo data zinachakachulika vilevile, wanaweza wakacheza na ile "Bar Code Reader" yao ikawaka taa tu kumbe kitu hakijasoma. Uwanja unachukua watu takribani alfu 60. Kusema wameingia 41,000 unamaanisha 30% ya viti vilibaki vitupu, jambo ambalo kwa tuliokuwepo uwanjani inakua vigumu kuamini.
Pia kwa sasa hata ukilipia VIP-B still utahitajika uwahi mapema uwanjani ili upate kiti, kwani wapo wanaokataga ticketi za bei ya chini kisha wanawashikisha polisi alfu 1-2 na kwwenda kukaa VIP.
Hili lingeweza kuepukika endapo tu viti vyote vingeweka "unique numbers" (jukumu la serikali) ili Clouds FM wachapishe ticket zenye "Seat Number" ambapo ukikuta mtu kakalia kiti "chako" iwe unarugusiwa kumtoa.
Hizi data ukweli wake ni asilimia kubwa sana, kama kuna error basi inaweza kuwa ni 0.001, upande wa jukwaa la Yanga watu hawakuwa wengi sana hata upande wa jukwaa la simba si kila kiti kilikuwa na mtu, mkuu issue ya seat no itakuwa ni balaa, mimi huwa nashuhudia watu wanapata shida kupata seat no kwenye behewa tu je hapo uwanjani itakuwaje, unaweza uhangaike hadi upate seat yako mpira umeisha.
 
mie nachokaga sana na wabongo aiseee.....ssa hapo hongera ya nini???? yaani mnampa mtu hongera kwa kutimiza wajibu wake?? nyie nao......
 
Hizi data ukweli wake ni asilimia kubwa sana, kama kuna error basi inaweza kuwa ni 0.001, upande wa jukwaa la Yanga watu hawakuwa wengi sana hata upande wa jukwaa la simba si kila kiti kilikuwa na mtu, mkuu issue ya seat no itakuwa ni balaa, mimi huwa nashuhudia watu wanapata shida kupata seat no kwenye behewa tu je hapo uwanjani itakuwaje, unaweza uhangaike hadi upate seat yako mpira umeisha.
Jana nlikuwepo uwanjani, na ukweli data zilikua na mashaka!!!
Nakubaliana na jamaa uliemjibu kua 41 alfu ni kama 68% hivyo kuleta shaka kama kweli eneo lililobaki tupu lilifika 32%.
Simba walijaza nusu yao, na wakasogea mpaka nusu ya upande wa Yanga,
Data ni sahihi kama Clouds wakiamiua ziwe sahihi, ila kibongo watu wanapiga pale!!!
labda hukuwepo uwanjani jana!!
 
Back
Top Bottom