Hekalu la Spika wa Tz

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,364
6,508
Hii kitu nimeitoa blog ya michuzi, Nyumba ya serikali ambayo atakuwa anaishi spika aliyeko madarakani. Imejengwa kwa Tsh. 1.5 billion ipo Dodoma.

2+(1).JPG



7+(1).JPG



8+(1).JPG


9+(1).JPG
 
Huyu ni mwana JF wa wapi jamani mbona mnatupunguzia hadhi hivi?? Hilo jumba kwani halina hata picha yake ili tukalinganishe na thamani tunayoambiwa kutoka kwenye kodi zetu huku tukitazama tija anayotuletea huyo mkaaji mwenyewe??

hii kitu nimeitoa blog ya michuzi, Nyumba ya serikali ambayo atakuwa anaishi spika aliyeko madarakani. Imejengwa kwa Tsh. 1.5 billion ipo dodoma.
 
JF sasa mmezidi, sasa mnataka Spika aishi nyumba ya namna gani? mbona hiyo nyumba ya kawaida sana. ebu leteni thread zenye mashiko wakuu, sio kulalamika tu kila kukicha
 
Ni nyumba ya kawaida tu hiyo acheni mambo yenu. Mnapimaje thamani ya Asset kama hiyo ambayo inakaa miaka 40?

Haya tuseme Spika angekaa nyumba ya kupanga yenye hadhi yake kwa mwezi 3,000,000 * 12 = 36,000,000 mwaka ndio mlivyotaka nyie tulipe?
 
mi naona ni sawa, kama spika angekuwa ni 6, coz aliendesha bunge kwa manufaa. hata ivo naamini ma-njiwa ataishi coz ameshaanza kutengeneza njia kwa kutetea posho.
 
kama ni kweli inauma kwa sababu hizi ni kodi zetu. na kwanini wajenge nyumba ya gharama hivyo huu ni ukoloni. bora watutawale wazungu kuliko hawa wabinafsi. tuna matatizo shule hazina madawati, walimu hawajalipwa, ,madaktari, no loans wapo. mimi naona kuna haja ya watawala kupimwa akili sidhani kama ziko sawa. ni watawala sio viongozi.
 
Sasa hilo ndio hekalu? mijitu mingine sijui ikoje? si kajumba ka kawaida tu haka, hakafikii hata kaburi la Maalim.
8104974.jpg

 
Haifikii ya Mwavita Makamba

I don't see the connection....that is what they term as ..... Mwamvita siyo Public figure...after all we both know nothing kuhusiana na huyu binti.....kama tunajua ni kidogo

What she has... hakijatokana na pesa ya umma....AMEITIKIA WITO WA RAIS MSTAFU WA AWAMU YA PILI ALIPOTEMBELEA MKOA WA KILIMANJARO
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom