Heka heka za CUF zaacha gumzo Arusha

kama wachaga walivyoungana na kuanzisha chama chao cha kikatoliki cha cdm.

Bahat nzuri ilioje, Roman Catholic Church wanatawala dunia, kisiasa. Kimahusiano Makao makuu ya RC ndiyo nchi pekee yenye ofisi za kibalozi hata katika nchi zilizovichochoroni.
 
Sauti huru - gazeti linalomilikiwa na vasco Dagama wa Tanzania na kizazi cha leo Afrika. Ni chombo cha propaganda kupunguza kiwingu cha lawama za wapiga kura.

OK SASA NDO cuf wanasoma siku hizi wao si ni Magamba tu na wao sasa kwa hiyo ushirika wao ni wakaribu kuliko tujuavyo
 
Mkuu siyo Mwananchi tu karibia vyombo vyote vyenye msimamo wa wastani nilishangaa wametangaza sana habari za cuf
hata wale waliokuwa wanatuhumiwa kuwa huwa hawatangazi habari za cuf na habari katika vyombo karibia vyote ilikuwa inafanana as if walipelekewa kikaratasi cha kuigilizia. magamba kazini
 
Mkuuu ilinyiyeleta mada mimi kwa macho yangu niliona izo gari zimebeba wafuasi wao tena ni waislam nadiliki kusema hiki si chama bali ni wafuasi wa dini flani wameungana wakatengenza chama so hata sisi walokole chama chetu kinakuja
sawa sawa, tulilijua hilCDM ni chama cha wagalatia ndo maana na sisi tukatafuta chama ambacho hakitatubagua,na kutugomboa CCM, CDM na wengine wengi wametukataa CUF ndio chama kilicho baki kwetu, nawaomba waislamu wenzangu musipoteze muda CUF ndo chama chetu
 
Ni ajabu mno kujita great thinkers, hali ya kuwa mumejawa na matusi, kebehi, fujo ahsanteni wanachadema forum
 
hapab kuna vichaa lazima.
kama sio cuf basi nitakuwa mimi ninayekaa arusha na kutokuuona huo umati.
 
Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha nashangaa sana chama ambacho kimebeba watu toka dar mpaka arusha na macoster alafu mhariri anasema kwamba walijaza mkutano inaonekana wazi amekula rushwa , kampuni ya mwananchi kama mnasoma humu angalieni wahariri kama hawa watawapotezea wateja maana gazeti lenu limekuwa na wasomaji wengi sana ndani ya nchi na nje ya nchi,nimeona nilete hapa jamvini na nyie wadau mchangie hili

Mleta hoja naona na wewe pia unaanza kuweweseka. Baada ya CDM kubebwa sana na vyomba vya habari kwenye uchaguzi uliopita sasa hawataki vyama pinzania vikapata coverage..unachokifanya wewe unamtisha mtu mzima nyau. Hivi nani alikudanganya kama watu wote wanataka kusikia habari za CDM peke yao. wewe si mmiliki wa Mwananchi, Mwananchi ni gazeti huru..nenda kwenye magazeti ya wachaga wenzenu ya Nipashe na Tanzania Daima... ala!!!!
 
Mimi naona huku ni kukosa ujasiri na uvumilivu wa kisiasa.

kama mpo makini KWANINI MNAOGOPA KIVULI CHENU WENYEWE. Mpaka kufikia kuweweseka.

Waswahili wanasema , bandu bandu inamaliza gogo.
We kalaga Baho.
 
Mleta hoja naona na wewe pia unaanza kuweweseka. Baada ya CDM kubebwa sana na vyomba vya habari kwenye uchaguzi uliopita sasa hawataki vyama pinzania vikapata coverage..unachokifanya wewe unamtisha mtu mzima nyau. Hivi nani alikudanganya kama watu wote wanataka kusikia habari za CDM peke yao. wewe si mmiliki wa Mwananchi, Mwananchi ni gazeti huru..nenda kwenye magazeti ya wachaga wenzenu ya Nipashe na Tanzania Daima... ala!!!!

Ishu sio kwamba atutaki vyama vingine vipate coverage tunachotaka ni ukweli gazeti la mwananchi ni gazeti linaloaminika kwa kutoandika uongo lakini kwa mhariri uyu ameudanganya uma wa watanzania ,atasemaje cuf imeuteka mji wakati imetoka na watu mikoa mingine ? kwanini katika habari ile akusema kama walibeba watu toka dar na akaishia kukisifia hiki chama cha wete ?
 
Kwani nini maana ya kuteka? tafakari kauli hii pia majambazi yauteka mtaa....
 
Mkuuu iliyeleta mada mimi kwa macho yangu niliona izo gari zimebeba wafuasi wao tena ni waislam nadiliki kusema hiki si chama bali ni wafuasi wa dini flani wameungana wakatengenza chama so hata sisi walokole chama chetu kinakuja[/QUOTE
Angalia ukimaliza udini ulionao utaingia kwenye kuwabagua walokole wenzako kiukabila!
 
Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha nashangaa sana chama ambacho kimebeba watu toka dar mpaka arusha na macoster alafu mhariri anasema kwamba walijaza mkutano inaonekana wazi amekula rushwa , kampuni ya mwananchi kama mnasoma humu angalieni wahariri kama hawa watawapotezea wateja maana gazeti lenu limekuwa na wasomaji wengi sana ndani ya nchi na nje ya nchi,nimeona nilete hapa jamvini na nyie wadau mchangie hili

Njaa...+ Anajitahidi walau apate ukuu wa wilaya...
 
Labda wewe ndo umekula rushwa. Maana umembadili mwandishi huru aliyeko Arusha kuwa mhariri wa mwananchi mwa matakwa yako.
 
V4c na m4c cuf wamekopi na kupesti hawana jipya hao ccm b.viva m4c
 
Back
Top Bottom