Heka heka za CUF zaacha gumzo Arusha

mpiganaji86

Senior Member
Sep 26, 2011
110
13
Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha nashangaa sana chama ambacho kimebeba watu toka dar mpaka arusha na macoster alafu mhariri anasema kwamba walijaza mkutano inaonekana wazi amekula rushwa , kampuni ya mwananchi kama mnasoma humu angalieni wahariri kama hawa watawapotezea wateja maana gazeti lenu limekuwa na wasomaji wengi sana ndani ya nchi na nje ya nchi,nimeona nilete hapa jamvini na nyie wadau mchangie hili
 
Ukweli ni wachache wanaojua kua CUF wamefanya mkutano hapa Arusha. Mimi naish Sakina nafanya kaz mjini kati nimejua mkutano umefanyika baada ya kuona Threads humu Jamvini. Hilo gumo litakua limechwa Kwa mnyamani coz wengi walipata tour to Ar
 
Kuna makakati wa dhahiri kuwa CCM itatumia vyombo vya habari dhidi ya CHADEMA, nadhani ni vyema wananchi wakatambua kuwa wao ndio nguzo ya mabadiliko na CHADEMA ni chombo tu, kwahiyo ni wajibu wao kukilinda chombo kisiharibiwe ili tufike mwisho wa safari!
 
hawa CCM B wanajiua wenyewe na kamwe wasisahau kanda ya kaskazini hateteri kwa sera DHOOFU zisizo na maana a kama wanataka kusiwetena na historia ya CUF nchini basi waendelee kuwa CCM B!!!
 
Kweli kabisa kuna Gumzo kubwa sana,kama CUF walifanya ziara au mkuatano, walikuja ktk hitima ya mtu hapa au walikuja kwa V4C?Kulikuga na gumzo kama huu ujio wao utasaidia kuimarisha ndoa yao na CCM kwa njia yoyote?Kuna gumzo kama kweli huyu professor wa Economy anaweza kuwa economical kwa alichokubalina na chama kubeba watu hata kushangilia hawawezi all the way to AR?Watu hawajamaliza pitia na kupata majeibu haya katika mijadala yao.
 
Its media.jpg

Maranyingine media zimekuwa zikitumika makusudi ili kupotosha ama kutimiza lengo fulani.
 
Wacha wajidanganye wao na ccm kazi yao imeisha nilipanda kwenye hiace wiki iliyopita na mgomea wao wa ubunge Arusha mjini 2010, nikamshangaa kweli anakazana sana kusoma gazeti la kizushi na kipropaganda la TAZAMA TANZANIA nikamtazama nikajua huu usomi wake aliokuwa anadai anayo masters haimsaidii kabisa kusoma tu magazeti yanayopumbaza watz kuminya kila anatafuta haki ya watz....... kuangalia zaidi anasoma gazeti jingine la sauti huru ...... nikajua huyu huku anatafuta tu kitu cha kushambulia CDM badala ya kusoma magazeti yenye hoja anasoma tu udaku hawa jamaa kwisha
 
Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha nashangaa sana chama ambacho kimebeba watu toka dar mpaka arusha na macoster alafu mhariri anasema kwamba walijaza mkutano inaonekana wazi amekula rushwa , kampuni ya mwananchi kama mnasoma humu angalieni wahariri kama hawa watawapotezea wateja maana gazeti lenu limekuwa na wasomaji wengi sana ndani ya nchi na nje ya nchi,nimeona nilete hapa jamvini na nyie wadau mchangie hili

nimesoma mistari michache tu nikaona wewe unababaika baada ya kushindwa umeya mwanza na arusha kuangukia mikononi mwa cuf
 
CUF imeanza kupata nguvu baada ya CDM kuonekana chama cha fujo.Arusha walipata watu wengi tu na hii ndio inawajambisha wanacdm humu JF.
 
Mmmh kwa kweli nipo Arusha lakini sikuona huo umati wa kuuzidi umati wa chadema, ukizingatia hawa CUF wana copy na ku paste hadi Logo za chadema lkn bado
 
Huu upuuzi mie naishi Arusha Njiro, office yangu ipo metro, nazunguka Sana town, Hilo gums CUF waliloacha liko Wapi? Hata bendera tu Kwenye pita pita zangu sijaziona Acheni umbea na unafiki.

QUOTE=mpiganaji86;4743950]Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha nashangaa sana chama ambacho kimebeba watu toka dar mpaka arusha na macoster alafu mhariri anasema kwamba walijaza mkutano inaonekana wazi amekula rushwa , kampuni ya mwananchi kama mnasoma humu angalieni wahariri kama hawa watawapotezea wateja maana gazeti lenu limekuwa na wasomaji wengi sana ndani ya nchi na nje ya nchi,nimeona nilete hapa jamvini na nyie wadau mchangie hili[/QUOTE]
 
Mkuuu iliyeleta mada mimi kwa macho yangu niliona izo gari zimebeba wafuasi wao tena ni waislam nadiliki kusema hiki si chama bali ni wafuasi wa dini flani wameungana wakatengenza chama so hata sisi walokole chama chetu kinakuja
 
Wacha wajidanganye wao na ccm kazi yao imeisha nilipanda kwenye hiace wiki iliyopita na mgomea wao wa ubunge Arusha mjini 2010, nikamshangaa kweli anakazana sana kusoma gazeti la kizushi na kipropaganda la TAZAMA TANZANIA nikamtazama nikajua huu usomi wake aliokuwa anadai anayo masters haimsaidii kabisa kusoma tu magazeti yanayopumbaza watz kuminya kila anatafuta haki ya watz....... kuangalia zaidi anasoma gazeti jingine la sauti huru ...... nikajua huyu huku anatafuta tu kitu cha kushambulia CDM badala ya kusoma magazeti yenye hoja anasoma tu udaku hawa jamaa kwisha
Sauti huru - gazeti linalomilikiwa na vasco Dagama wa Tanzania na kizazi cha leo Afrika. Ni chombo cha propaganda kupunguza kiwingu cha lawama za wapiga kura.
 
Mimi nadhani nikuliweka mwananchi kwenye matazamio, likirudia au kuendelea kushabikia na kupamba ubabaishaji na uwongo

basi dawa nikuhamasishana na kulisusia mitaani, litakapododa wahariri njaa watajifunza, kwasasa tulipe nafasi walau yamwisho..
 
CUF imeanza kupata nguvu baada ya CDM kuonekana chama cha fujo.Arusha walipata watu wengi tu na hii ndio inawajambisha wanacdm humu JF.
CUF imeacha fujo?!!!!!! vurugu za mwaka 2001 zilisababishwa na nani vile? Ni chama gani kilicholeta vurugu nchini na kusababisha watu 31 kufariki dunia? Ni chama gani kilicholeta vurugu nchini na kusababisha wakazi wengine wa Tanzania kukimbilia shimoni Kenya na kuishi kama wakimbizi?
 
Mkuuu iliyeleta mada mimi kwa macho yangu niliona izo gari zimebeba wafuasi wao tena ni waislam nadiliki kusema hiki si chama bali ni wafuasi wa dini flani wameungana wakatengenza chama so hata sisi walokole chama chetu kinakuja

kama wachaga walivyoungana na kuanzisha chama chao cha kikatoliki cha cdm.
 
CUF imeanza kupata nguvu baada ya CDM kuonekana chama cha fujo.Arusha walipata watu wengi tu na hii ndio inawajambisha wanacdm humu JF.

Nimeambiwa na jamaa yangu mwenye nafasi ya uongozi ccm kuwa v4c inagharimiwa na ccm.
 
kama wachaga walivyoungana na kuanzisha chama chao cha kikatoliki cha cdm.

Ha! ha! ha! ha! I thought your a great thinker but Iam totally wrong your a great sinker. You can do better than these dude.
 
Back
Top Bottom