Guantanamo Bay
Member
- Feb 6, 2009
- 29
- 38
kwa wale kinamama na wanaharusi ambao wanataka kujipamba,kuna mtaalamu hapo tanga anayeshughulika na kupaka hina kwa bibi harusi na pia kwa wale ambao wanataka kupaka kwa occasion mbalimbali kama kitchen party na etc.bei ni poa tu.kama upo interested tuwasiliane.Pia tuna nguo za kike za kuuza.