Heeee!!eti ajira zasitishwa!!!!

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Jman nliwahi uliza swali hili watu wakasema ooh serikali imesema itatoa ajira januari wakati kuna tetesi kuwa ajira zimesitishwa hakuna hela kuanzia wizaran hadi serikali jama habari hizi ni kweli?na mbona ajira hazijatoka hadi leo kwa walio sema zitatok mwenye jambo kuhusu hili.
 
Serikali yako, si tu kwamba kwa sasa haina fedha za kuajiri watumishi wapya, Bali Haina hata Fedha za kuwalipa Mishahara hao wafanyakazi wake waliopo katika Ajira sasa hivi.
 
Twafa... sasa tutaishije?
 
Jman nliwahi uliza swali hili watu wakasema ooh serikali imesema itatoa ajira januari wakati kuna tetesi kuwa ajira zimesitishwa hakuna hela kuanzia wizaran hadi serikali jama habari hizi ni kweli?na mbona ajira hazijatoka hadi leo kwa walio sema zitatok mwenye jambo kuhusu hili.
Mwezi huu zimetolewa ajira 3600 kwa maafisa ugani wa kilimo, huenda zitaendelea kutolewa kwa walimu pia.....tuwe na subira!!
 
kwani ni lazima ufanye kazi serikalini, kuna sekta binafsi hata kujiajiri!
 
Back
Top Bottom