Hedaru inaongoza kwa ngono Tanzania!

Kwa kweli kama ilikuwa ni kesi mahakamani basi hakimu angeshaifuta kwani taarifa inajichanganya sana kuanzia kwenye jina la muhusika na matukio yote aliyoyaeleza ni UTATA MTUPU.
 
Mimi ni dereva wa malori makubwa na mara nyingi nafanya safari za ndani ya mikoa nchini pamoja na ng'ambo.
Wiki jana nilikua napeleka mzigo wa thamani kubwa nchi jirani maeneo ya kaskazini.
Tulipofika Hedaru mida ya saa 8 mchana ilibidi tupumzike kwa ajili ya kupata chakula na ku-retreat. Cha kushangaza mida ya mchana hatukuona watu wengi kivile.

Ilipofika saa kumi na moja jioni tukashangaa kuona watu wa rika mbalimbali mitaani wengi wao wakiwa wa jinsia ya kike. Kadri muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndivyo idadi ya watu ilivyokuwa inaongezeka tena safari hii wakiwa katika pair. Usiku sasa ndio ukawa kama mchana. Gesti zote zilikuwa zimejaa. Pale tulipofikia dustbin zote zilikuwa zimejaa mipira iliyotumika, kwa makadirio tu ilikuwa si chini ya ndoo mbili.
Nilijaribu kumwuliza jamaa mmoja mwenyeji wa pale inakuwa hii, jamaa akasema hii ndo Hedaru bwana! Mchana watu wanalala, usiku ni majambozi kwa kwenda mbele.

Nilitamani asubuhi ifike haraka, na kulipokucha tu niliwasha lori niwahishe mzigo wa watu.

Lakini kiukweli: Hedaru inaongoza kwa ngono!

Mkuu kwanini unawasingizia watu wa hedaru, mbona wao wanafanya hivyo usiku tu. Hapa Dar mbona mchana na usiku ni sawa tu?
 
Mkuu kwanini unawasingizia watu wa hedaru, mbona wao wanafanya hivyo usiku tu. Hapa Dar mbona mchana na usiku ni sawa tu?

Sijawasingizia. Nimeeleza nilichokiona. Kama na wewe umeshawahi kuona tofauti na haya niliyoyaona mimi basi yaeleze hapa then tujibizane kwa hoja.
 
Mkuu tupe uzoefu wako wa sehemu nyingine ambapo malori ya aina hiyo yana-park, maeneo kama Mikumi, Dumila, Sekenke, Ilula, Nzega, Igunga, Tinde , Isaka ili walau tujue kivipi HEDARU inaongoza kadiri ya Utafiti wako.
 
Manyoni ndio ilikuwa kiboko, we unashangaa wao kutembea jioni. Manyoni sa 6 mchana ukiingia Guest unawakuta wamekaa reception unachagua.
Karatu ndio ukiingia chumbani tu kulala unagongewa na kuulizwa kwa nini unataka kulala mwenyewe.
Nchi hii ngono ni kila mahali
 
Kuna sehemu inaitwa mafinga. Pale nadhan hata hedaru haifui dafu
 
Kila mtu aamue mwenyewe kufanya au kutokufanya kama mtoa mada ulivyoamua coz ulikuwa na uwezo wa kusema na mimi ngoja nionje radha ya hapa Hedaru but inaonekana hukufanya hivyo.Nakutakia safari njema ufike salama na kurudi salalma kwa mkeo umpendaye sana.
 
Wapare ni non kwa ngono mshakaji wangu kamtosa wife alikuwa anatembea na mjomba wake yani mbaya wanakulana hata ndugu kwa ndugu mliooa wapare angalieni sana
 
Manyoni ndio ilikuwa kiboko, we unashangaa wao kutembea jioni. Manyoni sa 6 mchana ukiingia Guest unawakuta wamekaa reception unachagua.
Karatu ndio ukiingia chumbani tu kulala unagongewa na kuulizwa kwa nini unataka kulala mwenyewe.
Nchi hii ngono ni kila mahali

Ndo maana ngoma haiishi aisee
 
Back
Top Bottom