Hedaru inaongoza kwa ngono Tanzania!

Huyu mtoa mada anatumia hisia ukweli ni mdogo sana Nimekaa Hedaru-same sijaona hayo asemayo tena kilichonipeleka usiku ulihusika.Ulikuja na Thread hapa Wachaga hawajui mapenzi leo umewavamia wapare na ngono endelea yapo makabila zaidi 120...

Kwa kigezo hicho huoni kuwa nina uzoefu mkubwa sana wa maeneo ya kaskazini?
 
hedaru ipo barabara ya Arusha, Dar, ukitoka same unafika makanya kisha hedaru, nadhani kuna mji mwingine mbele kisha unafika mombo then korogwe.

kunautafiti kuwa kiwango cha ukimwi ni kikubwa sana pale.

Mkuu ukitoka Same mjini kuna Kirinjiko, then Makanya halafu unapita Saweni kisha ndio Hedaru..................

Halafu kitu kingine ambacho wengi hawakijui, pale Hedaru kuna mchanganyiko wa makabila mengi tu, kuna wapare ambao walitokea milimani na kuhamia pale halafu kuna Wasambaa ambao ni wengi wa kutosha na wametengeneza machotara kwa kuzaa na wapare, kuna Wazigua, Wabondei, Waarabu na Wasomali pia kuna baadhi ya makabila ya Bara.............. ni mji ambao unakua sana kibiashara na unapanuka sana kutokana na watu wengi kutoka mkoani Tanga kuhamia hapo...........
 
hedaRU IPO katikati ya same na mombo..ukitoka mombo unapita mbuga ya mkomazi then unafika hedaru then same
 
Nathubutu kuwasifu watu wa hedaru japo nina wacwac na utafiti huu! kwanza watu wa hedaru wana uelewa wa elimu ya afya kwan wanatumia kinga kuepuka magonjwa km ukimwi na mimba ziczotarajiwa,pili wana hela kwan wanafanyia mambo yao gest sehemu safi na salama na mwisho wanafanya mambo yao wakati wa ucku watoto wakiwa wamelala na baada ya muda wa kazi.

Umejuaje holi? Au na ww ulilala hapo hedaru?
 
Nathubutu kuwasifu watu wa hedaru japo nina wacwac na utafiti huu! kwanza watu wa hedaru wana uelewa wa elimu ya afya kwan wanatumia kinga kuepuka magonjwa km ukimwi na mimba ziczotarajiwa,pili wana hela kwan wanafanyia mambo yao gest sehemu safi na salama na mwisho wanafanya mambo yao wakati wa ucku watoto wakiwa wamelala na baada ya muda wa kazi.

Umejuaje hili? Au na ww ulilala hapo hedaru?
 
Mkuu mi sijaelewa hapo uliposema nukuu "mlikua mkipeleka mzigo wa thamani kubwa" mwisho nukuu.
Mantiki yake nini na thread main agenda ? Inatusaidia nini wachangiaji wewe kubeba mzigo wa thamani ndogo au kubwa ?

Huyu wala si dereva, labda atuambie yeye ni mdau wa hapo Hedaru
 
Mitishamba mimi naomba nikupongeze,ninachojua mimi nchi hii truck drivers majority elimu yao P7 na sana sana form 4,sasa mwenzetu una maujuzi ya kompyuta hadi ung'enge wa kutumia maneno kama 'retreat',Mkuu nakupongeza sana,you are avery exceptional driver!

Kuna makampuni siku hizi kama hujui kiingereza na kompyuta huna kazi, moja wapo ni ile ya Z-Poppe, hii kampuni magari yao ya kusafirisha mafuta nje ya nchi ni computerized..........
 
Teteee, Pesa zitafika siyo? Na mizigo yote kasoro Mke hafiki...!?!?!

Sasa mke kwa nini asifike? Inamaana Wata-MPARA hadharani kama Samaki wa Zenji?

Au WATAMLIA hadhani bila hata huruma au HAYA usoni?

Nilikuwa sijui kama Wapare ni ndugu na RAMA MLA WATU.
wapare ..wabaya hao ukimpa mke wako ampeleke sehemu hafiki ila pesa itafika
 
Ni utoto ukikua utaacha. Binadam kweli hatuna utu watu wanatafuta ela ili watumie miili ya wanawake na wanawake wanatumia miili yao ili wApate ela asa nani mwenye kosa sababu wote ni watafutaji ila njia tofauti! Mimi naona heri hao kuliko mafisadi.... SAMAhANi n am on ma way to ISAKa bandari ya nchi kavu!
 
Back
Top Bottom