HECHE: RCO anaendeshwa na CCM

nasikitika kwa kusema kuwa wenye kufuruga amani tanzania ni ccm maana wao wanaingia kwenye kampeni na silaha so unafirkiri ni nini kitatokea mimi napendekeza watanzania tujiandae kwa lolote maana hali si nzuri kwanza rage ni halamia wa tff kipindi hicho ni kati ya vyongizi wabovu mpaka u masaburi wao.
 
bila CCM nchi yetu itakuwa kama somalia.itagawanywa na kuwa vipande pande.tumeisha ona vurugu za CDM na sera za kimajimbo.Tutajenga taifa la walalamikaji kila siku na wahuni kama wale waliomvua DC hijabu na kumburuta.hata HECHE haoni mbali so myopic in nature.

Kwa nini watu wanapojadili mambo ya maana na nyie mnajichoka na kuchangia upuuzi wenu?
 
Back
Top Bottom