Heche mgeni rasmi kwenye mahafali ya kukabidhi wanachadema vyeti saut mwanza

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
Mwenyekiti wa baraza la vijana la chadema (bavicha) atatumia mahafali ya wanachadema wanaohitimu chuo cha mtakatifu Agustino jijini mwanza kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kesho tarehe 4/ 6/2011
 
Atakuwa na nafasi ya kusalimiana na wenzake aliowaacha Saut
 
Safi sana HECHE nenda kawafunde vijana waanze mapambano ya kumng'oa mkoloni mweusi ccm madarakani
 
Back
Top Bottom