Heche atangaza maandamano Dar kesho, Polisi yapiga marufuku!

unajua watu wengi wa magamba wana mimba za maradhi ujinga na umaskini kwa kushambuli kwao sishangai
 
tatizo hawa cdm hawapo strategically.. Hawajui wanachokitaka!
Kila siku wanatuacha dilema, lengo la lema la kujipeleka mahakaman hatujui lilikuwa nini, wameshaenda tena kumuombea dhamana wenyewe, sasa hivi tena wanataka kuandamana dar, huku tunaona zitto anagombana na nccr mageuzi, mara gazeti ya mwanahalisi! Tunaambiwa tena slaa anatembea na bastola mikutanoni, mara tena mbowe kapotea, alikojificha hapajulikani!
Haya ni matukio machache tu ndani ya muda mfupi yanayokihusu hiki chama ambacho bado ni kichanga sana. Wangejipanga vizuri.
wewe rejao huna ufahamu zaid ya kusubiri fadhila za kikwete upate masalia.kama ni kichanga mngetumia nguvu kubwa kuiba kura na kuwazulia mambo yasiyofaa viongozi wa chadema?kama ni kichanga kura za jakaya wako zilipunguaje?nani alizipunguza?tafakari.usiongee ili mradi umefanya kazi yako ya kulipwa na nape.
 
Anapoteza tu muda! akaandamane tu huko vijijini, siyo hapa dar. Huku watu wana ufahamu na wanajitambua. aje kwa staili nyingine!
naomba Mungu anisamehe, namchukia Rejao. Comments na avatar yake zinanifanya nione kama ndio shetani mwenyewe!
 
lol...kumbe hata maana ya invisible huijui? ukilsikia tu unaanza kumuwaza mod wa JF...kweli wewe kilaza!!

Ha! Ha! Ha! Kwa hiyo anajua Invisible ni jina kama John?

Huyu akiona Invisible na Invincible atasema kulwa na doto..
 
Ha ha ha ha nilitaka niku gongee "LIKE " lakini sizioni sijui kwangu tu..akigoma kutoka magogoni tukimkamata tunamtia jiti panchonyo kama mzee wa Bengazi
Same with mine,just point your cursor on the "reply with qouote" or "reply" tabs,then hiyo ya like ita pop up.Ama simply point cursor mahali ambapo "like" ipo.Ama popote tu kwenye bandiko itatokea.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba,wana JF wengi ni either hawana kazi za kufanya,...
Au walizo nazo hawazifanyi ipasavyo hence,nchi yetu haita endelea.

Kuna watu nikichungulia asubuhi,wamo,.......jioni wamo,....duh
Wakati wewe unachungulia na wewe haumo?

Hivi ni vituko,ni sawa na kumwambia mwenzako mbona unaniangalia bila kujiuliza na wewe umemwonaje kama "hukumwangalia"

Na wewe huna kazi ama?Unaiendeleza nchi kivipi?Ebu tueleze.

Halfu hivi wewe ndiye yule "speaker"?Maana mnashare avatar ya kichaa Hitler anakula muziki!

Na posti yako inafanana sana na avatar,we kula mziki tu.
 
Tatizo hawa CDM hawapo strategically.. hawajui wanachokitaka!
kila siku wanatuacha dilema, Lengo la lema la kujipeleka mahakaman hatujui lilikuwa nini, wameshaenda tena kumuombea dhamana wenyewe, sasa hivi tena wanataka kuandamana dar, huku tunaona Zitto anagombana na NCCR mageuzi, mara gazeti ya mwanahalisi! tunaambiwa tena Slaa anatembea na bastola mikutanoni, mara tena mbowe kapotea, alikojificha hapajulikani!
Haya ni matukio machache tu ndani ya muda mfupi yanayokihusu hiki chama ambacho bado ni kichanga sana. wangejipanga vizuri.

Mkuu fatilia vizuri vyanzo vya habari hizi, wengine ni wapotoshaji. Lema hajajipeleka mwenyewe Mahakamani; yeye si mwenda wazimu, ukishajua ukweli wa mambo ndo utajua kuwa wana cdm wanachokitetea ni haki ya watanzania wote kwa ujumla (ukiwaondoa magamba kama wewe).
 
  • Thanks
Reactions: Ame
kutokana na kutwaliwa na vurugu na fujo,jeshi la polisi limepiga marufuku mikutano na maandamano ya wavaa magwanda wa cdm
 
Ni kweli , nimeona barua na tamko la Paul Chagonja kamishina wa operesheni maalum za polisi leo huko Arusha.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba,wana JF wengi ni either hawana kazi za kufanya,...
Au walizo nazo hawazifanyi ipasavyo hence,nchi yetu haita endelea.

Kuna watu nikichungulia asubuhi,wamo,.......jioni wamo,....duh
With the level of Internet conectivity through phones,iPad,laptops etc you shouldnt wonder the level of interaction.
 
Bila shaka tutapata taarifa zaidi kupitia vyombo vya habari kuhusu maandamano hayo ya kesho. Huyu aliyeanzisha thread hii naona amekurupuka bila kutoa ufafanuzi. Kitakachotokea kesho CCM hawawezi kuamini. Huko mitaani watu wamechoka, wanasubiri fursa kama hii kuonesha hasira zao.
 
leta sosi................nichangie

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini Paulo Chagonja katika taarifa ya kurasa mbili aliyosoma kwa waandishi wa habari mjini arusha ameeleza kuwa jeshi hilo limezuia maandamano yaliyotangazwa na chama hicho kufanyika kesho nchi nzima baada ya kugundua hayatakuwa na amani.



Amesema kuwa maandamano hayo hayana kibali na yamelenga kufanya uvunjifu wa amani na Wamewashutumu vikali viongozi wa cdm kwa kudharau kwao sheria za nchi na kujifanya wababe kwa kutaka kufanya watakavyo na kuwaita wachochezi na uvunjifu wakubwa wa amani wa makusudi.

Amewaomba wananchi wananchi wajiepushe na vyama vya siasa vyenye malengo ya kutaka nchi iwe na vurugu.



Chagonja amefafanua kuwa cdm wameitisha maandamano na mikutano nchi nzima pasipokutoa sababu yoyote ya kufanya hivyo wanachofanya ni sawa na kuruhusu uhuru bila mipaka.



Mikutano na maandamano iliyozuiwa ni ya kesho na ameweka bayana kwamba mingine kama watafuata taratibu za kuomba kibari watawapatia iwapo polisi itajiridhisha haitakuwa na uvunjifu wa amani
 
Back
Top Bottom