Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Hahahaa kaizer huyo babu yako mi ni baba angu tulipoteana miaka mingi sasa ndio nimemuona bado bado nina hamu nae nimelelewa na ba wa kambo sasa nimemuona baba angu wa kweli nna furaha ajabu

Tatizo kuna mijitu itatafsiri vibaya hapo, na mingine itanionea wivu. Ila sisi tuendelee na yetu...

Mtoto hapigiwi kura.....
 
Mbona na mimi naishi USA, jimbo la Manzese, Mtaa wa Tandale bababara namba 0, Zip code ni "MBEGE". Tunaweza kuonana baada ya maboksi tupate subu ya kongoro?
maboks nabebea temeke stereo nyuma ya tandika mbele ya mton kwa aziz ali pemben ya kisemvule...baloz wangu necha...mmea wa asili ni ...

zp code machoz ya simba....ukimwona mmama mnenemfup mwembama ndo mama baloz wetu
 
Hey Matty &Co,

Naomba tuwe waungwana kwa kuwataja kwa majina hao watu(hutapewa ban', maana nia yake ni kurekebisha jukwaa, na pia ni kwa faida ya Invizibo!)

Kusemsa tatizo bila kuwalenga wanaolisababisha ni 1/4 ya ufumbuzi!..Tuchukue ustaarabu kwa kuwataja baadhi au wote , kama noma na iwe noma!

Mimi nitaanza na mmoja....mnaniruhusu?

cool down PJ tunataka JF iwe sehemu ya amani na ya kupunguzia stress so kutajana itakua kama inaamsha kaugomvi vile so kama una unaemjua ipotezeee tu bro (Hv we ni she au he) ndio maana nikatolea mfano kwa hawa aspirin na DC wanakusema in such a way ni wewe mwenyewe unajua hapa nimesemwa ila wengine wanaona kichekesho tu kumbe msg sent tudumishe upendo na amani ili tuendelee kuifurahia JF
 
maboks nabebea temeke stereo nyuma ya tandika mbele ya mton kwa aziz ali pemben ya kisemvule...baloz wangu necha...mmea wa asili ni ...

zp code machoz ya simba....ukimwona mmama mnenemfup mwembama ndo mama baloz wetu

Na Rais wako ndo Obama yupi?
 
cool down PJ tunataka JF iwe sehemu ya amani na ya kupunguzia stress so kutajana itakua kama inaamsha kaugomvi vile so kama una unaemjua ipotezeee tu bro (Hv we ni she au he) ndio maana nikatolea mfano kwa hawa aspirin na DC wanakusema in such a way ni wewe mwenyewe unajua hapa nimesemwa ila wengine wanaona kichekesho tu kumbe msg sent tudumishe upendo na amani ili tuendelee kuifurahia JF

Maty mbona unauliza majibu? Babu mzima kabisa unamuuliza kama jinsia yake ina utata?

Naamini PJ atakusamehe kwa kuwa tayari nimekuombea msamaha mjuu wangu!
 
Babu mwenzangu, soma katikati ya mistari hapo.

Fanya kama enzi zetu zile za Juma na Roza.

Duuuu..Umenikumbusha mbali mzee mwenzangu..Wambie wakupe kilaji...Bill nitaifanyia kazi!

Wewe umasalimika na dhahama ya Dodoma?
 
Maty mbona unauliza majibu? Babu mzima kabisa unamuuliza kama jinsia yake ina utata?

Naamini PJ atakusamehe kwa kuwa tayari nimekuombea msamaha mjuu wangu!

HAHAHAHA nashukuru kwa kuniombea msamaha ndio maana nakupendaga unatumia busara zaidi kunikanya, nilikua nanogesha kasentensi tu babu yangu lakin naamini PJ ashansamehe lol
 
Duuuu..Umenikumbusha mbali mzee mwenzangu..Wambie wakupe kilaji...Bill nitaifanyia kazi!

Wewe umasalimika na dhahama ya Dodoma?

Dodoma niliwatuma vijana waende.

Waliuficha mkongojo wangu, nikashindwa kuenda. Ila vijana walimwakilisha babu yao mimi.
 
Tatizo kuna mijitu itatafsiri vibaya hapo, na mingine itanionea wivu. Ila sisi tuendelee na yetu...

Mtoto hapigiwi kura.....

aaa baba waache watafsiri tu wapendavyo yaani hamu na ww haiishi tu ngoja nikatafute ndimu napilipili nikutafune pamoja navyo labda ndio itaisha lol (cjui nikuchanganye pia na uji wa limao na makande nafikiri itakua lunch murua JF rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa)
 
hahahahahaha.
 
We mtoto unataka KUMTAFUNA baba yako?
 
Kwa maana ipi?

Hebu fafanua vizuri hata sisi wababu tukuelewe mzee mwenzangu!

tatizo lenu nyie wazee lugha zenu ngumu sana.sijui ni moja ya matatizo ya uzeeni,kama ndio hivyo mie sitaki kuzeeka ntangangania kubaki kijana.
halafu DC kuna 'inshu' moja hivi unadhani imekwisha lkn bado inaindelea.
 
Ishu gani tena mpendwa?

Kama siyo public basi nitumie ujumbe tujaribu kuiangalia.
 
tatizo lenu nyie wazee lugha zenu ngumu sana.sijui ni moja ya matatizo ya uzeeni,kama ndio hivyo mie sitaki kuzeeka ntangangania kubaki kijana.
halafu DC kuna 'inshu' moja hivi unadhani imekwisha lkn bado inaindelea.

Cheusi mambo?
 
Ha ha ha, ati mwalimu wa mwandiko, teh teh teh, kama namuona nanihiii anavyowatamani ila ndio hivyo akijiroga kujibu tu wasiomsoma watakuwa wamemtambua rasmi
 
Da Sophy ntahitaji msaada wa roho mtakabivu. unajua mimba za mchana huwa zina aleji na asprin. hasa kama ilipatikana kipindi cha manyunyu. yule ntamkabidhi mama Big ampeleke kwa wakunga wa jadi. hospitalini tumefulia.:doh::doh::doh:

We babu Da Sofi kumbe alikosea tarehe......
 
Back
Top Bottom