Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Ni mojawapo ya kazi ya Asprin...Angalizo: Napunguza stress kwa jinsia moja tu. Jinsia yako, onana ma mama Big mtaa wa pili kule.:smile-big::smile-big::smile-big:

Waambieeeee....waletee Aspilini...Achipilini....acplin...Athipilin....Asprini:smile-big::smile-big::smile-big:
 
baadhi ya premuim member ndio utashangaa wanaongoza kwa uozo, yaani wanajiona wao kama wapo humu miaka kadhaa bac wao ndio kila kitu, uliingia mwaka jana/leo bac huna hujualo....yaani kuna watu wa ajabu sana....

Asante ila wewe c mmoja wao , kuna mmja anajifanya yeye ndio great phylosopher yaani kila thread anaikosoa mara lugha mra muonekano, mara tittle mara maneno, mara anakwambia ulikuwa na haraka wakati wa kupost yaani ilimradi tafrani we acha tu- utadhani hii forum iliwekwa kwa ajili yao
 
wakina john kisomo....ovyo kabisa...sasa yeye aanzishe thread iliyoenda skul bac wapi, zaidi wapo ku edit posts/thread za watu wengine.
 
asante sana Maty.....kuna baadhi ya watu humu wana fustration zao wanakuja kucheulia wengine makande yao na uji wa limao...ovyoo kabisa.
ha haaa mh uji walima, makande na kucheua jamani vimevunja mbavu, mtu akila makande anywe nauji wa limao sipati picha akicheua itakuaje.
 
hahaha hahhaa raha kweli kweli
asi naish MEREKANI MIMI BASI NIKITOKA KAZINIKWANGU KULE KUBEBA MABOKS WEEEEEEE NAKUWA NA HASIRA yan kila kitu naona kosa tuuuuuuu !!!!!!!!
kwan wewe haubeb maboks......hahah hahhaaaaaaaaa hasira znakuja na necha ya kaz nayofanya.........:yield::yield::yield:

Hivo mi nilikua cjui hilo lol sa mie nnaefundisha chekechea nikija na hasira za uko watoto wamenisumbua we c itakua balaaaaaa anyways yote maisha kikubwa ni kujirekebisha tu
 
DC...nawe umezidi kuwa wa mjini sana...lol, ni pombe ya kienyeji, kama mnazi au mbege...haaaa,nimefurahi kukuona tena.

Hapana dada mimi siyo wa mjini hata kidogo..si unajua kila kijiji kina mbege yake? Nitajuaje jina la mbege ya huko mkukurukani Mbambay?

Ahsante lakini....Mimi nipo kama sipo..hata hivyo mambo yanakwenda vizuri.
 
Hii gari ya mamaaa!

Maty nakupenda sana. kama mwanangu na kama Rafiki. Ahsante kama mimi ni sehemu ya furaha na kishusha stress chako. Siku bosi akikukera halafu JF ikagoma kufunguka...meza vidonge viwili vya asprin, nitaingia ndani ya tumbo lako na kufanya the needful. Ila ukipata mimba, mi simo.

Location ya Asprin ni Martenity Ward. Karibuni kina mama wazazi niwahudumie.

hahahaaaaaaa ulijuaje mzazi ukajipa jina la aspirini yaani siku mkoloni akiniudhi halafu JF ikigoma kufunguka sio siri huwa namesaga viasipirn viwili (yaani usiombe uwe na stress halafu JF nayo inagoma walahi huwa natamanigi kummesa infisibo) halaf baba utamsaidiaje da sofi hujaona anavyolalamika?
 
mmh..Maty...hebu leave babu alone bana......hahahahaha
 
Da Sophy ntahitaji msaada wa roho mtakabivu. unajua mimba za mchana huwa zina aleji na asprin. hasa kama ilipatikana kipindi cha manyunyu. yule ntamkabidhi mama Big ampeleke kwa wakunga wa jadi. hospitalini tumefulia.:doh::doh::doh:
 
hahahaaaaaaa ulijuaje mzazi ukajipa jina la aspirini yaani siku mkoloni akiniudhi halafu JF ikigoma kufunguka sio siri huwa namesaga viasipirn viwili (yaani usiombe uwe na stress halafu JF nayo inagoma walahi huwa natamanigi kummesa infisibo) halaf baba utamsaidiaje da sofi hujaona anavyolalamika?

Mpatie tu list ya wa babu... itamsaidia kwa sana kwa raha zake!
 
Hey Matty &Co,

Naomba tuwe waungwana kwa kuwataja kwa majina hao watu(hutapewa ban', maana nia yake ni kurekebisha jukwaa, na pia ni kwa faida ya Invizibo!)

Kusemsa tatizo bila kuwalenga wanaolisababisha ni 1/4 ya ufumbuzi!..Tuchukue ustaarabu kwa kuwataja baadhi au wote , kama noma na iwe noma!

Mimi nitaanza na mmoja....mnaniruhusu?
 
Na kaizer Je RR umemsahau :smile:
lakini mbona mimi nilimuona kaizer anatokea gest nikamuuliza tu kwa upole huko umetoka kufanya nini? na akanielewaa akanijibu katoka kuongeza stress je ingekua si ustarabu nikitu kizuri sijui ingekuaje.
 
Asante ila wewe c mmoja wao , kuna mmja anajifanya yeye ndio great phylosopher yaani kila thread anaikosoa mara lugha mra muonekano, mara tittle mara maneno, mara anakwambia ulikuwa na haraka wakati wa kupost yaani ilimradi tafrani we acha tu- utadhani hii forum iliwekwa kwa ajili yao

naomba nimtetee
yule mwenzako ni mwalimu wa mwandiko..so ana alej na spelling era..msamehe bure
mi sjawai kumwona kachangia vya maana...akiandika bas ni majigambo tu au kuonyesha chingereza chakle cha mkolon.....na kuwaona wengne wooooooooooote majuha yeye ndo HKL HERO...ananiboaa yaan acha ,.....afu anapenda bifu uyooooooooooooooo!!!!!!!
 
Hivo mi nilikua cjui hilo lol sa mie nnaefundisha chekechea nikija na hasira za uko watoto wamenisumbua we c itakua balaaaaaa anyways yote maisha kikubwa ni kujirekebisha tu

ahh yan yule bwana sjui niaje
hana la maana ndani umu zaid ya kuja na dictionary na miwan mikubwa na kuanza kurekebisha spelng
 
mmh..Maty...hebu leave babu alone bana......hahahahaha

Hahahaa kaizer huyo babu yako mi ni baba angu tulipoteana miaka mingi sasa ndio nimemuona bado bado nina hamu nae nimelelewa na ba wa kambo sasa nimemuona baba angu wa kweli nna furaha ajabu
 
Back
Top Bottom