Hebu tuwe wakweli, meli ingezama Mwanza baraza la wawakilishi lingeahirishwa?

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Mie naomba niwaulize ndugu zangu watanganyika, hivi mnadhani kwa jinsi hawa uamsho wanavyotuchukia wabara hii meli ingezama mwanza wangeahirisha vikao vya bara la wawakilishi au hata kushtuka? mkae mkijua hawa watu wanatuchukia vibaya sana na ndio maana walifikia hatua ya kuchoma makanisa kama ishara ya kutuchikia vibaya sana. Mie hizi kelele mnazopiga eti oooh! makinda hana huruma kutokuahirisha bunge, mie nadhani makinda alikuwa mzalendo. hawa watu wamemkosea Mungu wao wenyewe kwa kuchoma makanisa na sasa wanaadhibiwa hapa hapa duniani ili iwe fundisho. na wakirudia tena mie nina uhakika kale kakisiwa katazama kabisaaaa.
MNAKUMBUKA PICHA YA YULE ASKOFU AKILIA BAADA YA KANISA LAKE KUCHOMWA????
JEE ALISEMA NINI BAADA YAKE
ALIMUACHIA MUNGU AMLIPIZIE
YAMETIMIA
 
chilisosi mpende adui yako nawabariki wanaokukwanza maana Mungu ndiye alipae kisasi kwa wale wote ambao mikono yao nimepesi kutenda mabaya juu ya watoto wa Mungu.
 
hata ugnda mwalimu alipoona idi amini kaanzisha chuo cha kiislam mbale university, akaota ni hatari kwa kanisa. Akaenda kuondoa utawala. Yaliotokea mv bukoba sote tumyaona

Ni ukweli usiopingika
 
baraza la wawakilishi lipo kwa ajili ya wazanzibar na bunge la jamhuri ya muungano ni bunge la muungano, tafuta nawe baraza lako la tanganyika,
 
Unachoma makanisa?, Wazanzibar wanatakiwa kutubu dhambi hiyo haraka kabla hasira ya mungu haijashuka.
 
Mie naomba niwaulize ndugu zangu watanganyika, hivi mnadhani kwa jinsi hawa uamsho wanavyotuchukia wabara hii meli ingezama mwanza wangeahirisha vikao vya bara la wawakilishi au hata kushtuka? mkae mkijua hawa watu wanatuchukia vibaya sana na ndio maana walifikia hatua ya kuchoma makanisa kama ishara ya kutuchikia vibaya sana. Mie hizi kelele mnazopiga eti oooh! makinda hana huruma kutokuahirisha bunge, mie nadhani makinda alikuwa mzalendo. hawa watu wamemkosea Mungu wao wenyewe kwa kuchoma makanisa na sasa wanaadhibiwa hapa hapa duniani ili iwe fundisho. na wakirudia tena mie nina uhakika kale kakisiwa katazama kabisaaaa.
MNAKUMBUKA PICHA YA YULE ASKOFU AKILIA BAADA YA KANISA LAKE KUCHOMWA????
JEE ALISEMA NINI BAADA YAKE
ALIMUACHIA MUNGU AMLIPIZIE
YAMETIMIA

Wazanzibar wanamatatizo jamani tuwasamehe bure kabisa.
 
mada yako ndefu. Jibu fupi la msingi ni kwamba:
Zanzibar ni ya Wanzanzibari, Tanganyika ni ya wote, sababu watanganyika wanaipapatikia Zanzibar.
jitoeni sasa kwenye muungano,mtaendelea kuumia na kulia kila siku
 
Hawa tunawadekeza kwa nini yaani Chao ni Chao, cha kwetu ni CHAO pia, iko siku MUNGU atawasikia wanyonge wanaochomewa makanisa na mabar, Kwani Badoooooooooooooooo
 
Mie naomba niwaulize ndugu zangu watanganyika, hivi mnadhani kwa jinsi hawa uamsho wanavyotuchukia wabara hii meli ingezama mwanza wangeahirisha vikao vya bara la wawakilishi au hata kushtuka? mkae mkijua hawa watu wanatuchukia vibaya sana na ndio maana walifikia hatua ya kuchoma makanisa kama ishara ya kutuchikia vibaya sana. Mie hizi kelele mnazopiga eti oooh! makinda hana huruma kutokuahirisha bunge, mie nadhani makinda alikuwa mzalendo. hawa watu wamemkosea Mungu wao wenyewe kwa kuchoma makanisa na sasa wanaadhibiwa hapa hapa duniani ili iwe fundisho. na wakirudia tena mie nina uhakika kale kakisiwa katazama kabisaaaa.
MNAKUMBUKA PICHA YA YULE ASKOFU AKILIA BAADA YA KANISA LAKE KUCHOMWA????
JEE ALISEMA NINI BAADA YAKE
ALIMUACHIA MUNGU AMLIPIZIE
YAMETIMIA
it seem u lack some civics knowledge
 
mada yako ndefu. Jibu fupi la msingi ni kwamba:
Zanzibar ni ya Wanzanzibari, Tanganyika ni ya wote, sababu watanganyika wanaipapatikia Zanzibar.

Huu mkoa unakaa watu wa ajabu sana ambao wanamwona mwarabu mungu na ndugu zao wanawaona mbwa.

Anyway, utumwa huanzia kichwani
 
kwani Chadema kimekufa?
\

Hapana mkuu sisi hatutaki chama cha siasa, tunataka kiwe cha kigaidi kama hiki cha kwenu kinachoongozwa na mijamaa yenye madevu kama beberu, tutaanza kukiita KULALA na baadae tutakiita Boko Haram.
 
hata ugnda mwalimu alipoona idi amini kaanzisha chuo cha kiislam mbale university, akaota ni hatari kwa kanisa. Akaenda kuondoa utawala. Yaliotokea mv bukoba sote tumyaona

If that is so basi nina mashaka na uwezo wa Nyerere wa kufikiri, aliogopa jambo lisilo na maana hata kidogo.

Mkapa ndio ana akili, anajua elimu sio majengo. Kawapa majengo ya TANESCO bila shaka wala woga kijua hamna mtakalofanya hapo zaidi ya kuzalisha presenters wa Radio Imaan
 
\

Hapana mkuu sisi hatutaki chama cha siasa, tunataka kiwe cha kigaidi kama hiki cha kwenu kinachoongozwa na mijamaa yenye madevu kama beberu, tutaanza kukiita KULALA na baadae tutakiita Boko Haram.

Ze nem iz orede teken.

Cha kwetu kitaitwa Bunju Haram
 
Ulichosema ni kweli Watanganyika siku zote wanajipendekeza kwa wazanzibari, hawa wanaosema bibi makinda amekosea ni siasa ya kutafuta mtu wa kumlaumu lkn haina mantink, hata waliotoka kwanza ni wabunge wazanzibari ccm na ccm b cuf, Hawa wanzanzibari hawana maana na uone wanavolea kundi hili la kigaidi UAMSHO

Back
Top Bottom